Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jerry silaa asingetolewa huko wizara ya ardhi alikua anaenda kuharibu mambo siku siyo nyingi
Ukiona hivyo tayari kavurunda hapo kapelekwa ili ajirekebishe, hivi kweli utolewe Dar upelekwe Kagera au Katavi halafu useme Dar ulikuwa unafanya vizuri ndio maana ukaperekwa mikoa hiyo.
 
Tukae kwakutulia nchi inawenyewe hii sisi wengine niwasindikizaji mnacheza na watoto wa mjini identical twins? niko pale 2025.
 
Nape out, January out, hapo Mwigulu chupuchupu lazima aseme God saved my life from being sacked out, na Mwigulu asali sana kabaki..!!
Akitaka kuendelea kubaki aachane na ile timu ya mpira haitomwacha salama, haingii akilini gharama za kutunza ile timu unazitoa wapi? Kwa mshahara upi? Ni lazima utashawishika kuiba.
 
Akitaka kuendelea kubaki aachane na ile timu ya mpira haitomwacha salama, haingii akilini gharama za kutunza ile timu unazitoa wapi? Kwa mshahara upi? Ni lazima utashawishika kuiba.
Jambo baya na Gumu ni Watu wengi hatumjui Mwigulu nyema.. Mwigulu seems to have some powerful force behind him... Lakini hakunaga anayeweza kuisema ina relate na God father yupi
 
Mwigulu angeondolewa kabisa maana ana kibaru na majivuno na ni kama anatuona watz ni wajinga
Tayari anatuona wajinga wewe fikiria eti madeni ya taifa hayawahusu wananchi na hakuna mtz hata mmoja atagongewa hodi mlangoni mwake kulipa hilo deni, hapo unata atadharau vp.
 
Naona hatua alizo chukuwa rais Ruto nchini Kenya kuvunja baraza la mawaziri na kuunda umpya nahisi labda kwa sehemu zimempa mama confidence kusimama yeye kama yeye kama rais wa nchi na sio kucheka na kima yeyote badala yake Fanya kile wananchi wanataka failure to that you are unfit to be a President because you' are not leading but there are people who are leading you.Na kama samia ameweza Fanya kwa hawa watu serikali yake itaheshimika maana kama ameweza Fanya hivi kwa mtu mbichi habari gani kwa mtu mkavu ,ingawa kuna watu wawili flani ambao amewaacha watu wanawapigia kilele a President should just drop them out why leaving them?
Kwa maoni yangu anayesaidia mambo yaende sawia ni NCHIMBI
 
Kweli kabisa...watu wengi wamepata haki zao chini ya Jerry.
Wangapi wamepata haki zao? Hata angekaa miaka 20 usingesikia kafika Katavi au Songea unadhani huko hakuna migogoro ya ardhi? alichokuwa anafanya sio kazi zake, hiyo haina tifauti sana na Rais kila mara kuwalipia wagonjwa bill za matibabu,unadhani hiyo ni huruma ya kweli?
 
Eti Mwigulu kabaki aisee.
Jamaa Anajuaa kubuni njia za Kuwaibia wananchi hawezi tolewaa aiseee.. Hizi kodi za Lukuuu sijui mara kwenye mafutaaa daily anabuni mpyaa na viwango vinapanda pia Kutembeza bakuli ni mtaalamu haswaa
 
Back
Top Bottom