Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Hili litakusaidia kuwa na akiba ya maneno na kuendelea kukomaa kifikra. Ulishupaza sana shingo yako kwenye hili suala, ukiandika nyuzi ndefu zisizo na kichwa wala miguu. Hii nchi waanchie wenye nchi, pambana na hali yako tu.
 
Inaonyesha Makonda alimfanyia kitu ambacho hawezi kusahauπŸ˜‚. Ukichunguza kwa umakini hizi teuzi za mama hazina toka yeyote zaidi ya kupeana nafasi za upigaji kila mtu kwa urefu wa kamba yake. Poleni sana watumwa Kigoma mnazidi kupukutishwa serikalini bado mbuyu mmoja
 
Acha kudanganya umma. Waziri ni mshauri wa karibu wa Rais na anaingia kwenye Cabinet kupitisha sera za wizara/nchi.

Mkuu wa Mkoa ni mtu mdogo kicheo ambaye anashughulikia zaidi mambo ya kisiasa ndani ya mkoa tu hana mamlaka hata ya kuvuka mkoa fulani.

Rais,Makamu wa Rais na Waziri mkuu wakiwa nje ya nchi kwa wakati mmoja Rais anaweza kumteua Waziri yeyote kukaimu nafasi ya Urais kwa muda hadi mmojawapo wa hao hapo juu atakporejea wa kwanza nchini.
 
NILITARAJIA MZEE WA MAIGIZO ANGEPEWA UNAIBU WAZIRI MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…