Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Ualimu ni Field inayoweza kumwandaa Kiongozi katika sehemu nyingi sana na akafanya vizuri tu

Mwalimu yeyote ni Mult tasking, unawezaa shangaa angewekwa Mwanasheria hapo aaingefanya lolote...ndio nchi yetu hii
Nilidhani nguli wa sheria wangefiti zaidi huko, watu kama Kabudi and the like
 
Mrisho Gambo nyota yake inazidi kung'ara

Lema labda akimbilie Nusu mkate Moshi mjini

Nawatakieni Pasaka Njema 😄
Kwamba Sasa itabidi Mrisho Gambo awe chawa wa Makonda ili amsaidie kwa kutumia askari wake wabebe maboksi ya kura na kuleta fujo kwenye vituo vya kura, si ndio!?
 
Hii ni post inayotakiwa kusomwa na wote wanaochangia hii thread kwa sababu imejaa busara. Huu mtego hata watu wenye akili huingia wakajikuta wanashabikia ujinga. Tanzania tatizo lake siyo kuteua na kutengua. Tuanze na mfumo kwanza, tuurekebisha. Hatua ya kwanza ya maendeleo ni kuwa na viongozi bora, na viongozi bora hawaji bila kuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata.
 
Wateuliwa wengi hua wazuri kucheza na anayewateua.

Hii inaapply wapi?
 
Lema kazi anayo 😂
Endeleeni kujidanganya. Hiyo Kazi anayo ni kwa msaada wa majeshi. Nyie wengine ndio mnaolalamika Refa akichezesha vibaya na kuumiza timu zenu huko kwenye soka huku mkishabikia dhuluma kwenye chaguzi zinazoweza wanasiasa wanaoamua maisha ya wananchi yaende vipi!
 
Amemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.

Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!
Sasa unasimama mbele ya watu ...
Unasema huyu aliyepo sasa anafanana na yule aliyeondoka ..

Eti msiwatofautishe .. .. Bashite ni kichaa
 
Mwenyekiti ameshindwa kuwa na sekretariat stable. Aisee kukosa stability ni mbaya. Ndani ya miaka 3, Secretariat 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…