Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Utapata wapi neno na wakati kila siku unajipendekeza na kujitoa ufahamu kiasi cha kufikia hatua ya kuweka mpaka namba yako ya simu! Ili tu ukimbukwe!! Na bado umeishia kupuuzwa tu na wenye chama chao!

Vipi sasa!! Utaendelea kumsifia tena Paul Makonda kama enzi zile alipokuwa Katibu Mwenezi wa chama chenu? Dogo, mimi kaka yako nakushauri bora ukawekeza tu nguvu zako zote kwenye kilimo cha kahawa hapo Mbozi! ccm ina wenyewe! Na wewe si mmoja wao!
 
Kafa Magufuli na upinzani kauacha. Hata majeshi yake hayakuweza kumsaidia kumuokoa. Na huyo alikuwa Rais, hao uliowataja ni takataka TU.
Ni sahihi, Arusha papoose very complicated na huyo Makonda hapawezi. Ukiacha JPM, kapaahindwa Lowassa tena mgombea akiwa mkwe wake Sioi sumari na RC akiwa nyumba ndogo yake Matlida ataweza Makonda. Hajapelekwa kimkakati na pia uziri wa mama wa kizimkazi hana uadui na wapinzani. Kusema hivyo ni kujifariji ila katumbuliwa kutokana na kukosa kwake busara.
 
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Eti siasa za ccm kutafuta kuungwa mkono! Unachekesha sana. Bila majeshi ccm inaweza Fanya siasa Gani za kistaarabu. Ghafla umegeuka shehe Yahya, eti miaka 30 ijayo! Wewe inaweza jitabiria miaka Yako 30 ijayo!?
 
Na huyo Mhede aliibuliwa na Rais wetu kipenzi Dr Magufuli
 
Iwe dubwasha isiwe dubwana.....demotion completed.

Watoto wa mjini.....hapo hakuna mkakati wowote.

Ccm kushinda Arusha inaweza. A imeweza miaka yoote bila Makonda.
Ni kama wale wajinga akina Nape na wenzake "eti oh tumekipigania chama mpaka Magufuli kashinda Urais". Wanajiona wakubwa, Magufuli akaamua kuwaonesha ukiwa na Dola inaweza iba uchaguzi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…