Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
hongera sana wateule.. Kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali gani? Jamaa alileta umagu kwenye serikali ya kizimkaziHy kimkakati ndo nasema analetwa serikalini mdogo mdogo.
Utapata wapi neno na wakati kila siku unajipendekeza na kujitoa ufahamu kiasi cha kufikia hatua ya kuweka mpaka namba yako ya simu! Ili tu ukimbukwe!! Na bado umeishia kupuuzwa tu na wenye chama chao!Mimi sina neno wala cha kuandika leo.Maana Mama anatupatia Sapraizi Watanzania Mpaka Unaona Nchi na wananchi wakitetemeka.
Makalla AmosNafasi ya makonda kapewa nani
Yaaani leo nimeamua nisome comments zote....Leo najisomea comments Tu 🥱
Hahaha kwa kwel sijui nn hasa maana yake??anatengua
Ni sahihi, Arusha papoose very complicated na huyo Makonda hapawezi. Ukiacha JPM, kapaahindwa Lowassa tena mgombea akiwa mkwe wake Sioi sumari na RC akiwa nyumba ndogo yake Matlida ataweza Makonda. Hajapelekwa kimkakati na pia uziri wa mama wa kizimkazi hana uadui na wapinzani. Kusema hivyo ni kujifariji ila katumbuliwa kutokana na kukosa kwake busara.Kafa Magufuli na upinzani kauacha. Hata majeshi yake hayakuweza kumsaidia kumuokoa. Na huyo alikuwa Rais, hao uliowataja ni takataka TU.
Ngoja Tusubiri tuone !Konda boy, arusha kitawaka sana 2024_2025
Punda wa dobiPunda unaweza kumlazimisha kwenda mtoni
Lakini huwezi kumlazimisha kunwa Majina
NOTE hiyo!!!
Ngoja Tusubiri tuone !Ni sahihi, Arusha papoose very complicated na huyo Makonda hapawezi. Ukiacha JPM, kapaahindwa Lowassa tena mgombea akiwa mkwe wake Sioi sumari na RC akiwa nyumba ndogo yake Matlida ataweza Makonda. Hajapelekwa kimkakati na pia uziri wa mama wa kizimkazi hana uadui na wapinzani. Kusema hivyo ni kujifariji ila katumbuliwa kutokana na kukosa kwake busara.
Sema Yesu alikuwa na tumajibu flani hivi twakuudhi..ahhahaha🤣🤣Na Yesu akamjibu:hungekuwa na hayo mamlaka,Kama hayajatoka kwa baba yangu🙏🙏
Akapewa mdharauliwa Lucas mwashambwaNafasi ya makonda kapewa nani
Polepole ## Kataa wahuni 🤣🤣🙏Akapewa mdharauliwa Lucas mwashambwa
Eti siasa za ccm kutafuta kuungwa mkono! Unachekesha sana. Bila majeshi ccm inaweza Fanya siasa Gani za kistaarabu. Ghafla umegeuka shehe Yahya, eti miaka 30 ijayo! Wewe inaweza jitabiria miaka Yako 30 ijayo!?Acheni kujitoa ufahamu. Katibu wa Itikadi siasa na uenezi aliyepita kabla ya Bashite aliishia kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya. Ila yeye kawekwa mkuu wa mkoa wa Arusha kimkakati. Je yeye na Chongolo ambaye alikuwa katibu mkuu wa chama wana tofauti gani? Tena yeye kapewa jiji lenye ngome ya upinzani!?
Hapo ni siasa za CCM za kutafuta kuungwa mkono kaskazini. Kuitoa CCM haitowezekana kwa miaka 30 ijayo. Huo ndio ukweli mchungu. Kwa akili za upinzani kudemka inaonesha hawaijui siasa na watapigwa bao tena.
CCM ni dubwana kubwa sana.
Na huyo Mhede aliibuliwa na Rais wetu kipenzi Dr MagufuliDr Mhede hajawahi kufeli, kwanza ni mzalendo haswa na pili ni mchapa kazi. Kumbuka yeye ndiye mwenyekiti wa bodi ya benki ya NMB ambayo ndiyo taasisi ya umma yenye mafanikio makubwa kuliko taasisi nyingine yoyote nchini. Mwaka jana kufikia robo ya tatu ilikuwa ishatengeneza faida ya bil 569 faida ambayo haijawahi kutengenezwa na taasisi yoyote nchini na bado Rais wetu alimuongezea miaka mingine mitano na mwaka huu tunategemea makubwa zaidi. Kwa wanaomjua Dr Mhede, ni zaidi ya hazina.
Unajifariji TU. Wenye chama chao hawamtaki. Wale "wema hawafi"Hapana mkuu hio ni mkakati hapa Mama nimemuona ni mafia sana
Akili nyingi hizo🤣🤣
Kete imekaa sehem njemaNgoja Tusubiri tuone !
Ni kama wale wajinga akina Nape na wenzake "eti oh tumekipigania chama mpaka Magufuli kashinda Urais". Wanajiona wakubwa, Magufuli akaamua kuwaonesha ukiwa na Dola inaweza iba uchaguzi wote.Iwe dubwasha isiwe dubwana.....demotion completed.
Watoto wa mjini.....hapo hakuna mkakati wowote.
Ccm kushinda Arusha inaweza. A imeweza miaka yoote bila Makonda.