Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Mwenzake Kabudi alikuwa anamsifu Magufuli kwa kumtoa Jalalani! Imagine huyo ni Profesa.
 
Hakuna kitu kama hicho.

Watu wanautoroka Ukuu wa Mkoa wanakuja kwenye vyama
Huyu Makonda aliwahi kuwa mkuu wa wilaya, then mkuu wa mkoa, recently katibu mwenezi, na sasa mkuu wa mkoa tena.

Ukiangalia Geography ya mkoa aliotumikia hapo mwanzo na nafasi aliyotoka na mkoa anaoenda sasa, sio rahisi sana kupata majibu sahihi wala tafsiri ya teuzi hizi kwenda kwa mtu huyu.

Kinondoni?!
Dar es salaam?!

Tanganyika via CCM??!!

Arusha?!

Sioni kalamu ya Rais kwenye huu ukurasa.
 
Hiki ndio anacho weza kufanya mara nyingi KIZIMKAZI pale magogoni. Kuliko jambo lolote. Na anapenda mno kutengu na kuteua.






KAZI ni kipimo Cha utu.
 
Hahaaa
 
Kila UTEUZI,Kuna Jinsia Ile inatemwa!!!
Tatizo ni nini?
Ardhi alitemwa, Prof katemwa.
 
Makonda aliiweza Sana kazi ya ukatibu mwenezi
Kumtoa hapo ni kufanya kosa kubwa Sana .
Haya ngoja tuone sijui itakuwaje huko mbeleni.
 
Kumekucha na nini? Makonda hataiweza na haiwezi Arusha. Akija anatakiwa awe mpoleeeee. Aliwaweza nyie wala 🍟 wa Dar ila huku haiwezi ng'ooooooo. Kashindwa Ukatibu uenezi, ataweza ukuu wa mkoa. Ptuuuuuuuu
Lema awe makini. Huyu mtu ni Mmoja wa walioongoza genge lilijaribu kumuua Lissu. Ni kichaa huyu.
 
Mkumbusheni Makonda kuwa Arusha sio Dar.... Aje kwa breki! Kama hataelewa akamuulize mzee ww msoga. Arusha kila mtu anazaliwa na akili zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…