Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Makonda kaenda Arusha kimkakati. Mama anajua 2025 lazima alegeze kidogo ili wazungu waendelee kumwaga mipesa. Sasa Arusha Anaweza kuipoteza yote. Bado Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Kilimanjaro na Mara. Huko kote atagusa.
 
Hata cheo cha uenezi kilionekana kikubwa baada ya Makonda kuteuliwa. Kabla yake alikuwa Sophia Mjema alitembelea hapa kijijini kukagua mradi wa ujenzi wa bweni yaani ziara yake ni kama mkuu wa wilaya tu
 
Bado nakataa. Ndio maana nimekuuliza huyo Mhede ana maamuzi Gani ya kibinafsi ndani ya bodi!? Wawekezaji ndio walioiinua NMB! Nyingine ni porojo.
Uongozi ni muongoza njia. Anasimamia utendaji wa taasisi ili kufikia malengo na dira ambayo kimsingi bodi (anayoiongoza) ndio hupendekeza kwa maendeleo na ukuaji wa taasisi husika
 
Dah, Wala nguruwe watupu ,ila watu wa dini ya haki na ya Mungu mmoja huwakuti kulalama juu ya uteuzi kuwa wa waabudu masanamu watupu!


Ila ingetokea tofauti ungeona hawa wanaharamu wangemtusi prezidaa
 
Arusha mjini ngome ya CDM na ‘bi-tozo’ ana 4R zake. Kuna mawili kwenye huu uteuzi.

Muda si mrefu Lema atamchokoza Mandoka, sasa akijibu kwa utaratibu wake wa enzi za Magufuli, CDM watalia foul na bwana mkubwa kujikita jobless soon.

La pili ni kama CDM wanampango wakulazimisha mambo kama kawaida yao, wamepelekewa mwamba wa kushughulika nao.

Time will tell which is which.
 
Amemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.

Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!

Makonda
1 Mkuu wa mkoa
2 Mbunge
3 Waziri wa mambo ya nje
4 Rais wa JMT

HII COMMENT SIIFUTI
 
Mbona kamuacha kumpa mkoa au hata uwaziri jambazi mwingine Ole Lengai Sabaya..?

Msitegemee kupata viongozi waadilifu na wasafi katikati ya utawala uliochini ya roho ya shetani wa kike Jezebel..

Tuendeleeni kupambana mpaka Jezebel akutane na mkono na nguvu ya Mungu maana hiyo pekee ndiyo itakayomwangusha..

Na hakika muda si mrefu utawala wa shetani huyu utaanguka..
 
KAZI iendelee!

Wateule wachape kazi,watatue changamoto,waache alama.katika utumishi wao waliotuliwa!!

Wasitafune kodi zetu bure!

Mungu ibariki jamhuri yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…