Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndio nani huyoBasi msalimie Kichere hapo Vwawa 😂😂😂🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani huyoBasi msalimie Kichere hapo Vwawa 😂😂😂🔥
Pole, siku ukija kusikia n waziri/naibu ndio utaniamini.Hakuna kitu kama hicho.
Watu wanautoroka Ukuu wa Mkoa wanakuja kwenye vyama
Kweli aisee......sema Dr Samia kamuonea aibu yule alistahiri UDC tu.cheo alicho kuwa nachi ni kikubwa sana kulinganisha na ukuu wa Mkoa, hii ni kwa Africa tu, Mzungu hawezi kubali huu ujinga
Ruto alisha kamilisha kuunda Serikali, huyu Mama still hadi leo anatest mitamboRuto ni Maguful wa Kenya [emoji3]
Wanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.Makonda kashushwa Cheo
Mtasubiri sana......hiyo ndio bye byePole, siku ukija kusikia n waziri/naibu ndio utaniamini.
Spana alizopiga zile kuhusu viongozi kua wanafki kumkataa Magufuli nadhani zimegusa kunako.Amemteua Lucas Mwashambwa kuwa chawa kiongozi jamiiforums.
Anyway tukiacha utani, Bashite kuna namna amegusa pasipogusika, na soon anaweza akarudi bench aendelee kuwa best loser!!
Weka namba ya simu usichoke mkuu Iko siku mama atakuona akukabithi hata kawilaya 🤣🤣🤣Mimi sina neno wala cha kuandika leo.
Mnajifariji tu......Mwenezi alikuwa juu ya Mawaziri hadi PM anabow down.Wanagawana tu. Mkuu wa Mkoa ni cheo sawa na Waziri.
Anarudi kuwa kwenye tume ya mipango.Asha Rose Migiro anarudi tena kufanya nini?
ccm sijui wanatuonaje
Je huu ni Unabii wa Lema?Weka namba ya simu usichoke mkuu Iko siku mama atakuona akukabithi hata kawilaya 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka namba ya simu usichoke mkuu Iko siku mama atakuona akukabithi hata kawilaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tume ya mipango ipi? Na kuhusu nn??Anarudi kuwa kwenye tume ya mipango.
Combo yake na Sabaya mjiandaeBASHITE Arusha hutuwezi