Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Hahaha.....sasa mkuu ukiumwa unakuwa huna maamuzi ya hiyari walio wazima ndio wanakuamria kwa hatima ya afya yako
 
Tunamkaribisha sana, mitaa ya Matejoo, Unga LTD na Ngarenaro
 
Makonda amepewa ukuu wa mkoa baadae anapewa ubunge wa kuteuliwa 2030 ndie rais wa Tanzania.
 
Mbunge ndiye msukumaji wa maendeleo, ndiye msemaji kwa niaba ya Wananchi, ndiye ajuaye kero, kuiwakilisha na kuhakikisha serekali inatatua kero hiyo, wapo wajinga mara wanapochaguliwa hata hilo la kusukuma maendeleo hawalifanyi.
 
😂 kwahiyo wa njiro bangi zenu mnazitia ndani ya mageti yenu sio
 
Huko kwingine alikopelekwa alishindwa kuongoza!? Hana kitu huyo. Ndio walewale TU. Hamisha huku peleka kule performance sifuri.
Pengine nirejee ushauri wa Obama kwa serikali ya Tanzania alioutoa tarehe 01 July 2013. Kwamba serikali ijikite katika kutengeneza na kuzifanya taasisi zake ziwe huru na imara ili zijiendeshe. Naamini kama hali hii ingekuewepo kwa taasisi nyingi za serikali basi pale DART wangeweza kuwa wananunua magari wao, wanaamua mambo yote ya msingi wao na pengine tungeona uhalisia wa utendaji kazi wa wateule wa Rais kuliko hii ya kusubiri wizara ndio waamue Kwa ajili ya taasisi.
 
Asante Maza kwa kumuondoa Profesa Ndalichako. Huyu ni Disaster kwa Wastaafu. Alishikilia na kupitisha Sheria Ya Kikokotoo. Daah mpeleke mtaani akakutane na mazara ya Kikokotoo alichopitisha.
 
Wakuu wa mkoa ya Zanzibar nao jalapedo iwafike.
 
Ndalichako aliua ndoto za vijana wengi sana hasa wale waliomaliza chuo kuanzia 2014 kurudi chini,..mfano waliomaliza form six chuoni kuingia uwe na D+D wakati vijana wa miaka hiyo ya nyuma walikuwa wanaenda na D+E or mtu ana E+E hao ni Kwa form six
... Kwa diploma holder walikuwa wanaenda Kwa GPA ya 2.7 yeye akapandisha mpa GPA ya 3.0.. sasa jiulize hilo wimbi la watu linaenda wapi kielimu?
Note: Watumishi wengi wanashindwa kujiendeleza baada ya badiliko hilo yaani Mpaka uende OPEN UNIVERSITY KUCHUKUA FOUNDATION COURSE sasa dogree unakuwa umesoma miaka mingapi? Na gharama za kusoma ni za mtumishi mwenyewe.
BORA HATA AMEKAA BENCHI ALIJIONA MSOMI KULIKO WOTE ALIUA ELIMU TZ
 
Makonda ni mtoto wa mjini aliwahenyesha mawaziri na wabunge, taifa zima lika mshangilia atashindwa hapo Arusha????
Toka lini msukuma awe mtoto wa mjini angekuwa wamjini uenezi usingemshinda mapema kweupe hivyo ,subiria mkwamo wa Arusha atakavyooneshwa pakutokea
 
Wewe ulikuwa na E+E?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…