Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Chuki mnayo nyie wendawazimu . Eti nguruwe ni Haram, haramu kwako wewe sio kwangu. We usile Mimi nakula shida Iko wapi!?. Na ukiumwa, ukahitajika kuongezewa damu hospitali, utajuaje damu utakayoongezewa sio ya mla nguruwe!? Punguzeni chuki kwa wasioufuata Uislamu.
Hahaha.....sasa mkuu ukiumwa unakuwa huna maamuzi ya hiyari walio wazima ndio wanakuamria kwa hatima ya afya yako
 
Tunamkaribisha sana, mitaa ya Matejoo, Unga LTD na Ngarenaro
 
20240401_012100.jpg

Yaani aliteuliwa na mama halafu akaenda kumshukuru marehemu.
 
Makonda amepewa ukuu wa mkoa baadae anapewa ubunge wa kuteuliwa 2030 ndie rais wa Tanzania.
 
Mbunge ni mwakiloshi wa wananchi siyo mtekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mbunge hakusanyi kodi na wala siyo mfadhili. Mbunge ni mesenja, ni kama vile unavyomtuma house girl wako dukani ama sokoni. Halafu itokee mtu anamlaumu h. girl wako kwa maendeleo ya nyumbani kwako. It is fallacy!

Kwa level ya uwelewa wako, nikizingatia mada zako unazoandika humu JamiiForums , sidhani kama unamaanisha kumlaumu mbunge Lema kwa kukosekana kwa maendeleo jimboni kwake.
Mbunge ndiye msukumaji wa maendeleo, ndiye msemaji kwa niaba ya Wananchi, ndiye ajuaye kero, kuiwakilisha na kuhakikisha serekali inatatua kero hiyo, wapo wajinga mara wanapochaguliwa hata hilo la kusukuma maendeleo hawalifanyi.
 
What do u mean? Kwamba anaweza kuja na michezo yake ya kufungia bar, sjui shisha. Mara jumamosi ni siku ya usafi?

Michezo apeleke huko Matejoo wakamzabue mabeto 🤣🤣 huku Njiro hawezi kutuona. 24/7 watu wamefunga mageti, wapo kama hawapo.
😂 kwahiyo wa njiro bangi zenu mnazitia ndani ya mageti yenu sio
 
Huko kwingine alikopelekwa alishindwa kuongoza!? Hana kitu huyo. Ndio walewale TU. Hamisha huku peleka kule performance sifuri.
Pengine nirejee ushauri wa Obama kwa serikali ya Tanzania alioutoa tarehe 01 July 2013. Kwamba serikali ijikite katika kutengeneza na kuzifanya taasisi zake ziwe huru na imara ili zijiendeshe. Naamini kama hali hii ingekuewepo kwa taasisi nyingi za serikali basi pale DART wangeweza kuwa wananunua magari wao, wanaamua mambo yote ya msingi wao na pengine tungeona uhalisia wa utendaji kazi wa wateule wa Rais kuliko hii ya kusubiri wizara ndio waamue Kwa ajili ya taasisi.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:

i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Kabla ya uteuzi huu Mhe. Ndejembi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mhe.Ndejembi anachukua nafasi ya Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

ii) Amemteua Bw. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Kabla ya uteuzi huu Bw. Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Anachukua nafasi ya Mhe.John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine.

iii) Amemteua Kanali Evans Alfred Mtambi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Kabla ya uteuzi huu Kanali Mtambi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.

iv) Amemhamisha Mhe. Said Mohamed Mtanda kutoka Mkoa wa Mara kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Mhe. Mtanda anachukua nafasi ya Mhe. Amos Gabriel Makalla ambaye atapangiwa kazi nyingine.

v) Amemteua Mhe. Zainab Athuman Katimba (Mb.) kuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Mhe. Zainab anachukua nafasi ya Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) ambaye ameteuliwa kuwa Waziri.

vi) Amemteua Mhe. Daniel Baran Sillo (Mb.) kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mhe. Sillo anachukua nafasi ya Mhe. Jumanne Abdallah Sagini (Mb.) ambaye amehamishwa kwenda kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria.

vii) Amemhamisha Mhe. Mhandisi Maryprisca Winfred Mahundi (Mb.) kutoka Wizara ya Maji kwenda kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

viii) Amemhamisha Mhe. Kundo Andrea Mathew (Mb.) kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji.

ix) Amemteua Bw. Fakii Raphael Lulandala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

Kabla ya uteuzi huu Bw. Lulandala alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM).

x) Amemteua Bw. Gilbert Kalima kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.

Kabla ya uteuzi huu Bw. Kalima alikuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi.

xi) Amemhamisha Mhandisi Cyprian John Luhemeja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu) kwenda kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

xii) Amemhamisha Bi. Mary Ngelela Maganga kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenda kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

xiii) Amemteua Dkt. Edwin Paul Mhede kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Dkt. Mhede aliwahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART).

Dkt. Mhede anachukua nafasi ya Bi. Agnes Kisaka Meena ambaye
amehamishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji.

xiv) Amemteua Dkt. Suleiman Hassan Serera kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Serera alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

Dkt. Serera anachukua nafasi ya Bw. Nicholaus Mkapa ambaye amehamishwa kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Habari.

xv) Amemteua Bw. Selestine Gervas Kakele kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu Bw. Kakele alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

xvi) Amemteua Balozi Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya
Mipango.

Uapisho wa Waziri, Wakuu wa Mikoa, Naibu Mawaziri na Naibu Makatibu Wakuuu tafanyika tarehe 04 Aprili, 2024 saa 05:00 asubuhi Ikulu, Dar es Salaam.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

View attachment 2949540
View attachment 2949541
Asante Maza kwa kumuondoa Profesa Ndalichako. Huyu ni Disaster kwa Wastaafu. Alishikilia na kupitisha Sheria Ya Kikokotoo. Daah mpeleke mtaani akakutane na mazara ya Kikokotoo alichopitisha.
 
Wakuu wa mkoa ya Zanzibar nao jalapedo iwafike.
 
Ndalichako aliua ndoto za vijana wengi sana hasa wale waliomaliza chuo kuanzia 2014 kurudi chini,..mfano waliomaliza form six chuoni kuingia uwe na D+D wakati vijana wa miaka hiyo ya nyuma walikuwa wanaenda na D+E or mtu ana E+E hao ni Kwa form six
... Kwa diploma holder walikuwa wanaenda Kwa GPA ya 2.7 yeye akapandisha mpa GPA ya 3.0.. sasa jiulize hilo wimbi la watu linaenda wapi kielimu?
Note: Watumishi wengi wanashindwa kujiendeleza baada ya badiliko hilo yaani Mpaka uende OPEN UNIVERSITY KUCHUKUA FOUNDATION COURSE sasa dogree unakuwa umesoma miaka mingapi? Na gharama za kusoma ni za mtumishi mwenyewe.
BORA HATA AMEKAA BENCHI ALIJIONA MSOMI KULIKO WOTE ALIUA ELIMU TZ
 
Makonda ni mtoto wa mjini aliwahenyesha mawaziri na wabunge, taifa zima lika mshangilia atashindwa hapo Arusha????
Toka lini msukuma awe mtoto wa mjini angekuwa wamjini uenezi usingemshinda mapema kweupe hivyo ,subiria mkwamo wa Arusha atakavyooneshwa pakutokea
 
Ndalichako aliua ndoto za vijana wengi sana hasa wale waliomaliza chuo kuanzia 2014 kurudi chini,..mfano waliomaliza form six chuoni kuingia uwe na D+D wakati vijana wa miaka hiyo ya nyuma walikuwa wanaenda na D+E or mtu ana E+E hao ni Kwa form six
... Kwa diploma holder walikuwa wanaenda Kwa GPA ya 2.7 yeye akapandisha mpa GPA ya 3.0.. sasa jiulize hilo wimbi la watu linaenda wapi kielimu?
Note: Watumishi wengi wanashindwa kujiendeleza baada ya badiliko hilo yaani Mpaka uende OPEN UNIVERSITY KUCHUKUA FOUNDATION COURSE sasa dogree unakuwa umesoma miaka mingapi? Na gharama za kusoma ni za mtumishi mwenyewe.
BORA HATA AMEKAA BENCHI ALIJIONA MSOMI KULIKO WOTE ALIUA ELIMU TZ
Wewe ulikuwa na E+E?
 
Back
Top Bottom