Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

Ni wazi hili jimbo halitaponyoka tena. Wale waliotegemea kulichukua haitakua rahisi tena.
Mkuu, kwa jinsi ninavyozifahamu mada zako hapa JF imenilazimu nizipitie tena kutokea kwenye profile yako ili kujiridhisha kuwa sijachanganya ID.

Hii mada ya leo haikupaswa kuandikwa na kichwa mahiri kama wewe, ilipaswa kuwa comment tu kwenye mada za wengine.
 
Ufanisi na utatuzi wa changamoto mbalimbali kwa wananchi ndicho kipimo halisi, Sioni lema amefanya nini hapo arusha, katika ubunge wake, zaidi ya kuongoza ganja smokers kwenye maandamano!
Mbunge ni mwakiloshi wa wananchi siyo mtekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mbunge hakusanyi kodi na wala siyo mfadhili. Mbunge ni mesenja, ni kama vile unavyomtuma house girl wako dukani ama sokoni. Halafu itokee mtu anamlaumu h. girl wako kwa maendeleo ya nyumbani kwako. It is fallacy!

Kwa level ya uwelewa wako, nikizingatia mada zako unazoandika humu JamiiForums , sidhani kama unamaanisha kumlaumu mbunge Lema kwa kukosekana kwa maendeleo jimboni kwake.
 
Hiyo Quran unaiamini wewe. So, acha upumbavu mwingine akifuata njia tofauti. Au wewe kichaa!? Una_force kufanana!? By the way waarabu wamesababisha watani zangu kufukuzwa ngorongoro.

Nguruwe ni haram kuliwa, ndio maana mnapata magonjwq ya ajabu.




By the way waarabu wamesababisha watani zangu kufukuzwa ngorongoro.

Wenzio wanakula bata huko Tanga wala husikii wakilalamika, kinachokusumbua wewe ni CHUKI, chuki ni maradhi mabaya sana.
 
Nguruwe ni haram kuliwa, ndio maana mnapata magonjwq ya ajabu.






Wenzio wanakula bata huko Tanga wala husikii wakilalamika, kinachokusumbua wewe ni CHUKI, chuki ni maradhi mabaya sana.
Chuki mnayo nyie wendawazimu . Eti nguruwe ni Haram, haramu kwako wewe sio kwangu. We usile Mimi nakula shida Iko wapi!?. Na ukiumwa, ukahitajika kuongezewa damu hospitali, utajuaje damu utakayoongezewa sio ya mla nguruwe!? Punguzeni chuki kwa wasioufuata Uislamu.
 
Wakuu salamu,
Sina mengi sana ila mwenye mawasilianao ya waziri mpya wa kazi,vijana, ajira, na wenye ulemavu ndugu Deo Ndejembi anisaidie namba au email yake. Kuna proposal ya muhimu Sana ambayo akiipata naamin itabadili historia ya taifa letu hasa kwenye eneo la ajira.
 
Na mkeka huu Lucas mwashambwa katoka kapa,huyu ana kimavi siyo cha nchi hii utafikiri amezini na mbwa.
 
Back
Top Bottom