Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Huku kichaa kitatulizwa...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa kilichoumiza vijana wengi.. Nawewe toa unavyoelewaWewe ulikuwa na E+E?
Mbona unajifariji sana?Sio kweli ukuu wa mkoa halafu awe nani? Kashushwa vibaya sana tena katupwa.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Tatizo liko kwetu wananchi. Kwa nini tunakubali haya yote yaendelee kutokea?Mtu kama makonda zero brain kabisa anapewa ukuu wa mkoa. Hajua anachofanya zaidi ya mihemko tu.
Kapewa ukatibu wa uenezi kavurinda mpaka mama kamshtukia kabla hajaharibu chama.
Alipeq ukuu wa mkoa wa dar akavurunda nchi akataka kuigawa jpm akaona amtoe kwa ujanja sana.
Marekani walimpiga ban mpaka Leo hawezi kukanyaga kule. Lakini kama kwamba vijana wameish wenye brain nzuri BDO unampa huyohuyo
Utoko mtupu umeleta hapa jukwaaniMtu kama Makonda zero brain kabisa anapewa Ukuu wa Mkoa. Hajui anachofanya zaidi ya mihemko tu.
Kapewa Ukatibu wa Uenezi kavurunda mpaka mama kamshtukia kabla hajaharibu chama.
Alipewa Ukuu wa Mkoa wa Dar akavurunda nchi akataka kuigawa Magufuli akaona amtoe kwa ujanja sana.
Marekani walimpiga ban kwa mpaka leo hawezi kukanyaga kule lakini kama kwamba vijana wameisha wenye brain nzuri BADO unampa huyohuyo!
Swali moja la kipumbavu sana lililowahi kuulizwa hapa nduniani. Hapa Yesu alitakiwa amjibu kama alivyowahi kumjibu mmoja wa wafuasi wake... "ondoka nyuma yangu shetani..."Pilato akamwambia Yesu " Je Hujui kwamba Nina mamlaka ya kukufungua na Nina mamlaka ya kukufunga?"
Jipe moyoMbona unajifariji sana?
Kabla ya 2023 uliwahi kufikiri kama leo tutamjadili Makonda kama mkuu wa mkoa?
Ccm huwajui wewe! Hapo Konda boy akitoka U RC atapewa cheo kikubwa zaidi.