Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hafai hata kidogoHuyu ni Rais mzigo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai hata kidogoHuyu ni Rais mzigo!
Kwa hiyo ameamua kula matapishi yake?Hii teua na tengua ni kufifisha ishu ya Chadema Mbeya
Nia ni kutuzuga tuKwa hiyo ameamua kula matapishi yake?
Ni kwamba hajui nini la kufanya wala watu sahihi wa kufanya kazi gani! Katika zama hizi unamfanya mwalimu kuwa Waziri wa Afya unategemea nini! Huyu mwalimu atateua watu aina gani kuambatana naye kwenye mikutano ya WHO!Nia ni kutuzuga tu
Na utakuta huyo huyo aliyepigwa chini jana, kesho tena utasikia ni waziri, yaani hata huelewi kinachotakiwa nini!! Ila kama hujui uendako huwezi poteaHuwa wanasema Mbowe kakaa sana Chadema apishe damu changa. Akina Kabudi na Lukuvi wa nini tangu TANU!
Huwezi kujua unapotea! 😲😲😲Na utakuta huyo huyo aliyepigwa chini jana, kesho tena utasikia ni waziri, yaani hata huelewi kinachotakiwa nini!! Ila kama hujui uendako huwezi potea
Ana Mjomba wake ni Chifu kule Songea,alikuwa Bungeni amevaa mangozi ya chui🤣🤣🤣Sasa ukiangalia ni lipi la maana anafanya!! Au mama wa ngekewa(mhagama) huwa hata sielewi anafanya nini lakininpanga pangua yumo tu
Alivyomteua yule fala aliyeandaa mkataba wa kuuza nchi kwa DP World kuwa AG,aisee nimecheka.Hafai hata kidogo
Hii inferiority complex ni ya mwandishi wa huu uzi. Hajiulizi kwa kina ni kwanini anatengua na kuteua wala hatafuti sababu za kitaalam za kwanini teuzi zifanyike mara kwa mara anakimbilia kuja na hoja za kejeli kwa maamuzi ya kikatiba.Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Kuteua na kutengua anakofanya Samia si kwa lengo la kuongeza ufanisi serikalini au kuleta mabadiliko ya kiutendaji serikalini, bali kuonyesha nguvu na madaraka ya Rais mwanamke!
Badala ya teuzi na tengua zake kuleta maendeleo kwa Taifa zinaleta hasara na kudidimiza maendeleo ya nchi! Tangu aingie madarakani kwa kudra ya Mwenyezi Mungu teuzi na tengua zake zimegharimu Serikali mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kujenga shule, zahanati, barabara na miradi kadha wa kadha!
Mungu ibariki Tanzania!
PIA SOMA
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali
Nchi inaliwa na sasa hivi anakwenda kuhakikisha vikwazo vyote vilivyokuwa kero kwa DP vinaondolewa!Alivyomteua yule fala aliyeandaa mkataba wa kuuza nchi kwa DP World kuwa AG,aisee nimecheka.
This man Hamza Johari!!!!
Hamza Johari kaandaa mikataba mingi sana ya kiserikali kuanzia miaka ile ya 2015 alipoteuliwa na JPM kuwa mkurugenzi wa TCAA, ni mmoja wa wanasheria vichwa sana waliopo hivi sasa hapa Tanzania.Alivyomteua yule fala aliyeandaa mkataba wa kuuza nchi kwa DP World kuwa AG,aisee nimecheka.
This man Hamza Johari!!!!
Mwabukusi huyu huyu Kajunjumele ninayemfahamu?Salaam, Shalom!!
HAKIKA ushindi wa Rais mpya wa TLS ndugu na Nabii Mwabukusi umetikisa mamlaka na sasa zinahaha na kupeleka kuwarudisha Ofisini manguli Hawa wawili waliokuwa wamefichwa Ili kujaribu Kupambana vita ya kisheria bungeni na mahakamani Ili kuiokoa Serikali na kushindwa Kwa HOJA.
HAKI za watanganyika, Watanzania zimepata mtetezi sahihi, hivyo, tumuombee mtu huyu Ili alete mabadiliko tunayoyatarajia watanganyika ndani ya Muungano.
Swali: Je ni Kweli, Ushindi wa Nabii Mwabukusi Kwa nafasi ya Rais wa TLS ndio chanzo Cha kurudi Kwa Prof Kabudi kwenye Uwaziri wa KATIBA na Sheria na Ndugu Kabudi Kwa nafasi ya Waziri Sera na Bunge?
Mungu ibariki Tanganyika,
Mungu ibariki TLS, Mbariki pia Nabii Mwabukusi.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni 🙏
Mchezo wa Draft, kusukuma kete hii hapa na ile kule, kisha unadai umeshinda, loh!Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi.
Anachofanya Samia ni kuonyesha nguvu na madaraka aliyonayo kikatiba. Madaraka na nguvu za Rais ndicho anaonyesha. Kama alivyowahi kusema yeye ni Rais mwenye jinsia ya kike! Kwa hiyo anaonyesha namna Rais wa jinsia ya kike anavyoweza kutelekeza madaraka na nguvu yake kama Rais wa kike! Anateua na kutengua kama anabadilisha mavazi.
Kuteua na kutengua anakofanya Samia si kwa lengo la kuongeza ufanisi serikalini au kuleta mabadiliko ya kiutendaji serikalini, bali kuonyesha nguvu na madaraka ya Rais mwanamke!
Badala ya teuzi na tengua zake kuleta maendeleo kwa Taifa zinaleta hasara na kudidimiza maendeleo ya nchi! Tangu aingie madarakani kwa kudra ya Mwenyezi Mungu teuzi na tengua zake zimegharimu Serikali mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kujenga shule, zahanati, barabara na miradi kadha wa kadha!
Mungu ibariki Tanzania!
PIA SOMA
- News Alert: - Uteuzi Agosti 14, 2024: Rais Samia kafanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali
Tupunguze hizi negativity za kipuuzi. Hamza ni mwanasheria makini sana kwanza alipigania serikali ikashinda kesi ya Ziwa Malawi.Nchi inaliwa na sasa hivi anakwenda kuhakikisha vikwazo vyote vilivyokuwa kero kwa DP vinaondolewa!
Hakuna utaalamu wo wote bali ni kuogopa kivuli chake mwenyewe! Hivi kwa D zako mbili ulizopata kuna utaalamu wa kumfukuza kazi mtu na baadaye kumrudisha bila maelezo ya kutosha tena kwenye nafasi ya kisiasa!Hii inferiority complex ni ya mwandishi wa huu uzi. Hajiulizi kwa kina ni kwanini anatengua na kuteua wala hatafuti sababu za kitaalam za kwanini teuzi zifanyike mara kwa mara anakimbilia kuja na hoja za kejeli kwa maamuzi ya kikatiba.
Acha kujipotosha! Mkataba umepingwa na wanasheria wote nguli wa nchi hii pamoja na TLS iliyokuwa chini ya chawa wake kasoro yeye, huoni walakini hapo?Tupunguze hizi negativity za kipuuzi. Hamza ni mwanasheria makini sana kwanza alipigania serikali ikashinda kesi ya Ziwa Malawi.
Pili kapigania shirika la mafuta kiasi kwamba serikali imepewa mkataba mzuri. Akapigania maslahi ya kimkataba kati ya serikali na DPW na tumepata mkataba mzuri ambao unaongeza mapato kule TPA.
Samia kumpa uanasheria mkuu ni baada ya kuifahamu kazi yake vilivyo kuanzia mwaka ule wa 2015 mpaka leo. SSH sio mjinga pengine sisi tunaodhani kuwa yeye ni mjinga ndio wajinga wenyewe.