- Thread starter
- #61
Unamfahamu vipi? Maana kawabwaga machawa wote waliotumia rasilimali za umma kupiga kampeni!Mwabukusi huyu huyu Kajunjumele ninayemfahamu?
Zero.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu vipi? Maana kawabwaga machawa wote waliotumia rasilimali za umma kupiga kampeni!Mwabukusi huyu huyu Kajunjumele ninayemfahamu?
Zero.
🤠🤓🤓😂 Pia amedumisha kuvaa ushungi! Ndiyo mambo pekee ameweza!Miongoni mwa vitu SSH kafanikiwa ni tenguzi na teuzi!
Yaani kila mwezi lazima atimize malengo!
Kajunjumele?Unamfahamu vipi? Maana kawabwaga machawa wote waliotumia rasilimali za umma kupiga kampeni!
Ni mpumbavu peke yake anayeweza kulinganisha TLS na vyama vya wafanyakazi!Kajunjumele?
Ataachuja baada ya wiki kadhaa kwa vimatamko visivyotekelezeka.
What is TLS? Ni sawa tu na CWT,TALGU,CHAKUHAWATA, NK
Mambo ya kiusalama huwa ni sababu za kuteua na kutengua, kumbuka wapo wasaliti siku zote ndani ya serikali hizo hizo.Hakuna utaalamu wo wote bali ni kuogopa kivuli chake mwenyewe! Hivi kwa D zako mbili ulizopata kuna utaalamu wa kumfukuza kazi mtu na baadaye kumrudisha bila maelezo ya kutosha tena kwenye nafasi ya kisiasa!
Inferiority complex unayo wewe kukubali ujinga wa wazi kwa kivuli cha katiba!
Kupinga mkataba hakuna maana kwamba wanaopinga wanao ufahamu wa kina wa hicho kilichomo ndani yake. Nani kazuiliwa na huo mkataba kuja kufanya biashara na TPA katika hizi bandari zetu?.Acha kujipotosha! Mkataba umepingwa na wanasheria wote nguli wa nchi hii pamoja na TLS iliyokuwa chini ya chawa wake kasoro yeye, huoni walakini hapo?
🤣🤣🤣Pindi Chana alikuwa Maliasili na Utalii muda mfupi uliyopita. Sasa karudishwa tena Maliasili na Utalii?!! Hakuna watu zaidi ya sura hizo hizo Tanzania yote hii ya watu milioni 60? Hii ni zaidi ya recycling: ni merry-go-round, up-and-down, inside-out.
Ila kuna kitu sio bure mkuu!! Utendaji o ila panga pangua yupoAna Mjomba wake ni Chifu kule Songea,alikuwa Bungeni amevaa mangozi ya chui🤣🤣🤣
Mkuu watu wamejipanga!
🤣 🤣 🤣Hakuna tija yoyote ile inayopatikana kwenye suala hili la Kuteua na Kutengua Mara kwa mara zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kufuja fedha za Kodi za Wananchi ili kugharamia teuzi hizi.
Aidha, kitendo cha Rais kufanya Uteuzi na Utenguzi wa Viongozi wa Serikali mara kwa mara kinaonyesha na kuthibitisha kwamba Rais huyo ni Dhaifu kupindukia hususani kwenye suala la kufanya Maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi. Hivi inawezekana vipi uwateue Watu kwenye nafasi sa Uongozi halafu ndani ya kipindi kifupi kabisa Cha miezi mitatu tu unatengua teuzi zao zote kabisa na kisha unawateua tena Watu wengine????? Hii inawezekanaje????? Ina maana kabla ya kuwateua Watu hao ulikuwa haujawachunguza kwa umakini ili kuona Kama wanafaa au la ????? Je, ina maana kwamba Rais amekuwa akifanya uteuzi wa Watu kwa kukurupuka bila ya kuwafanyia kwanza Vetting ya kutosha Watu hao????
Weka wazi uchawa wako! Ndivyo mnadanganya watu kuhusu usalama!Mambo ya kiusalama huwa ni sababu za kuteua na kutengua, kumbuka wapo wasaliti siku zote ndani ya serikali hizo hizo.
Ni rahisi kukosoa lakini ni vigumu sana kuvaa viatu vyake akiwa na hadhi ya Rais.
Ninachokiona kutoka kwako ni ujinga na uchawa!Kupinga mkataba hakuna maana kwamba wanaopinga wanao ufahamu wa kina wa hicho kilichomo ndani yake. Nani kazuiliwa na huo mkataba kuja kufanya biashara na TPA katika hizi bandari zetu?.
Upotoshaji mwingii wa wanasiasa wanaofanya kazi kisiri na wapigaji wa nchi hii ndio sababu za mkataba kupingwa. Mpaka makanisani wakaupinga leo kwa aibu kaja mwendeshaji mwingine Adani pale TPA anafanya kazi kama kawaida licha ya hiyo IGA ya DPW kuendelea kuwepo.
Mnajifanya wazalendo kumbe akili za hovyo tu. Mnaishia kukariri kwamba bandari haihitaji mwekezaji wakati pale Airport kuna Swissport ana miaka 30 akiwa mwekezaji.Ninachokiona kutoka kwako ni ujinga na uchawa!
Hana dira wakati anaimalizia miradi yote aliyoiacha hayati JPM. Kasumba zinawapa machungu vichwani mwenu.Weka wazi uchawa wako! Ndivyo mnadanganya watu kuhusu usalama!
Viatu vya Samia ni uoga na kutojiamini! Hajui nini cha kufanya na wala hana dira!
Uzalendo haufundishwi darasani kuwa muelewa wewe chawa. Na uwekezaji siyo kitu kigeni lakini ufisadi hauwezi kufumbiwa macho!Mnajifanya wazalendo kumbe akili za hovyo tu. Mnaishia kukariri kwamba bandari haihitaji mwekezaji wakati pale Airport kuna Swissport ana miaka 30 akiwa mwekezaji.
Ni vigumu kubadilisha uchawa kwani ni ugonjwa hivyo unahitaji matibabu!Hana dira wakati anaimalizia miradi yote aliyoiacha hayati JPM. Kasumba zinawapa machungu vichwani mwenu.
Anaweza akaja kuwa rais bora kuliko wote watano waliomtangulia.
Maneno ya uchawa ni ya kipumbavu yasiyo na mashiko yoyote tunapoongelea ufanisi wa SSH na awamu yake ya sita.Ni vigumu kubadilisha uchawa kwani ni ugonjwa hivyo unahitaji matibabu!
DP World wapo pale bandarini wanapiga kazi usiku na mchana. Nyinyi na mawazo yenu yaliyopitwa na wakati endeleeni kutumia hilo neno chawa, halina msaada wowote zaidi ya kujifariji tu.Uzalendo haufundishwi darasani kuwa muelewa wewe chawa. Na uwekezaji siyo kitu kigeni lakini ufisadi hauwezi kufumbiwa macho!