Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi unaofanywa na Samia ni mbwembwe tu za Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unamfahamu vipi? Maana kawabwaga machawa wote waliotumia rasilimali za umma kupiga kampeni!
Kajunjumele?
Ataachuja baada ya wiki kadhaa kwa vimatamko visivyotekelezeka.
What is TLS? Ni sawa tu na CWT,TALGU,CHAKUHAWATA, NK
 
Kajunjumele?
Ataachuja baada ya wiki kadhaa kwa vimatamko visivyotekelezeka.
What is TLS? Ni sawa tu na CWT,TALGU,CHAKUHAWATA, NK
Ni mpumbavu peke yake anayeweza kulinganisha TLS na vyama vya wafanyakazi!

Ni vema ukaficha ujinga wako usifedheheshe familia yako!
 
Hakuna utaalamu wo wote bali ni kuogopa kivuli chake mwenyewe! Hivi kwa D zako mbili ulizopata kuna utaalamu wa kumfukuza kazi mtu na baadaye kumrudisha bila maelezo ya kutosha tena kwenye nafasi ya kisiasa!

Inferiority complex unayo wewe kukubali ujinga wa wazi kwa kivuli cha katiba!
Mambo ya kiusalama huwa ni sababu za kuteua na kutengua, kumbuka wapo wasaliti siku zote ndani ya serikali hizo hizo.

Ni rahisi kukosoa lakini ni vigumu sana kuvaa viatu vyake akiwa na hadhi ya Rais.
 
Acha kujipotosha! Mkataba umepingwa na wanasheria wote nguli wa nchi hii pamoja na TLS iliyokuwa chini ya chawa wake kasoro yeye, huoni walakini hapo?
Kupinga mkataba hakuna maana kwamba wanaopinga wanao ufahamu wa kina wa hicho kilichomo ndani yake. Nani kazuiliwa na huo mkataba kuja kufanya biashara na TPA katika hizi bandari zetu?.

Upotoshaji mwingii wa wanasiasa wanaofanya kazi kisiri na wapigaji wa nchi hii ndio sababu za mkataba kupingwa. Mpaka makanisani wakaupinga leo kwa aibu kaja mwendeshaji mwingine Adani pale TPA anafanya kazi kama kawaida licha ya hiyo IGA ya DPW kuendelea kuwepo.
 
Umemaliza kila kitu,
Hizi ni mbwembwe kuionyesha jamii Umungu mtu.
 
Pindi Chana alikuwa Maliasili na Utalii muda mfupi uliyopita. Sasa karudishwa tena Maliasili na Utalii?!! Hakuna watu zaidi ya sura hizo hizo Tanzania yote hii ya watu milioni 60? Hii ni zaidi ya recycling: ni merry-go-round, up-and-down, inside-out.
🤣🤣🤣
 
Hakuna tija yoyote ile inayopatikana kwenye suala hili la Kuteua na Kutengua Mara kwa mara zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kufuja fedha za Kodi za Wananchi ili kugharamia teuzi hizi.

Aidha, kitendo cha Rais kufanya Uteuzi na Utenguzi wa Viongozi wa Serikali mara kwa mara kinaonyesha na kuthibitisha kwamba Rais huyo ni Dhaifu kupindukia hususani kwenye suala la kufanya Maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi. Hivi inawezekana vipi uwateue Watu kwenye nafasi sa Uongozi halafu ndani ya kipindi kifupi kabisa Cha miezi mitatu tu unatengua teuzi zao zote kabisa na kisha unawateua tena Watu wengine????? Hii inawezekanaje????? Ina maana kabla ya kuwateua Watu hao ulikuwa haujawachunguza kwa umakini ili kuona Kama wanafaa au la ????? Je, ina maana kwamba Rais amekuwa akifanya uteuzi wa Watu kwa kukurupuka bila ya kuwafanyia kwanza Vetting ya kutosha Watu hao????
🤣 🤣 🤣
 
Mambo ya kiusalama huwa ni sababu za kuteua na kutengua, kumbuka wapo wasaliti siku zote ndani ya serikali hizo hizo.

Ni rahisi kukosoa lakini ni vigumu sana kuvaa viatu vyake akiwa na hadhi ya Rais.
Weka wazi uchawa wako! Ndivyo mnadanganya watu kuhusu usalama!

Viatu vya Samia ni uoga na kutojiamini! Hajui nini cha kufanya na wala hana dira!
 
Kupinga mkataba hakuna maana kwamba wanaopinga wanao ufahamu wa kina wa hicho kilichomo ndani yake. Nani kazuiliwa na huo mkataba kuja kufanya biashara na TPA katika hizi bandari zetu?.

Upotoshaji mwingii wa wanasiasa wanaofanya kazi kisiri na wapigaji wa nchi hii ndio sababu za mkataba kupingwa. Mpaka makanisani wakaupinga leo kwa aibu kaja mwendeshaji mwingine Adani pale TPA anafanya kazi kama kawaida licha ya hiyo IGA ya DPW kuendelea kuwepo.
Ninachokiona kutoka kwako ni ujinga na uchawa!
 
Weka wazi uchawa wako! Ndivyo mnadanganya watu kuhusu usalama!

Viatu vya Samia ni uoga na kutojiamini! Hajui nini cha kufanya na wala hana dira!
Hana dira wakati anaimalizia miradi yote aliyoiacha hayati JPM. Kasumba zinawapa machungu vichwani mwenu.

Anaweza akaja kuwa rais bora kuliko wote watano waliomtangulia.
 
Mnajifanya wazalendo kumbe akili za hovyo tu. Mnaishia kukariri kwamba bandari haihitaji mwekezaji wakati pale Airport kuna Swissport ana miaka 30 akiwa mwekezaji.
Uzalendo haufundishwi darasani kuwa muelewa wewe chawa. Na uwekezaji siyo kitu kigeni lakini ufisadi hauwezi kufumbiwa macho!
 
Hana dira wakati anaimalizia miradi yote aliyoiacha hayati JPM. Kasumba zinawapa machungu vichwani mwenu.

Anaweza akaja kuwa rais bora kuliko wote watano waliomtangulia.
Ni vigumu kubadilisha uchawa kwani ni ugonjwa hivyo unahitaji matibabu!
 
Ni vigumu kubadilisha uchawa kwani ni ugonjwa hivyo unahitaji matibabu!
Maneno ya uchawa ni ya kipumbavu yasiyo na mashiko yoyote tunapoongelea ufanisi wa SSH na awamu yake ya sita.

It's a stupid rhetoric used lately. SSH anakwenda kuifungua nchi kwa SGR na viwanja vya ndege vinavyozidi kujengwa kila mkoa.
 
Uzalendo haufundishwi darasani kuwa muelewa wewe chawa. Na uwekezaji siyo kitu kigeni lakini ufisadi hauwezi kufumbiwa macho!
DP World wapo pale bandarini wanapiga kazi usiku na mchana. Nyinyi na mawazo yenu yaliyopitwa na wakati endeleeni kutumia hilo neno chawa, halina msaada wowote zaidi ya kujifariji tu.
 
Back
Top Bottom