Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Full kamishna ndio cheo gani cha kijeshi? unavijua vyeo vya kijeshi wewe?Bregadia General Hata Kama angebaki Jeshini bado angekuwa anampigia Salute Full Kamishna wa Jeshi la Polisi na Valentino alikuwa Full Kamishna kwa Cheo cha Kijeshi!
Walipochemka ni Kagera
RC ni Meja General Kijuu Halafu Msaidizi wake ni Kamishna Diwani Athumani!
ACP, SACP, DCP and CP!Full kamishna ndio cheo gani cha kijeshi? unavijua vyeo vya kijeshi wewe?
Commissioner of Police ni sawa na Luteni Usu wa JWTZ!Yaani burgedia jeneral anaenda kuwa chini ya mtu ambae ni cheo cha RPC tu,kiprotoko burigedia ni mtu mkubwa zaidi ya huyo boss wa pccb maana mlowa alikua kamishina msaidizi wa polisi.Hapa uteuzi huu haujakaa vema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ni vyeo vya kipolisi.ACP, SACP, DCP and CP!
Tukisema Ma Kamishna wa Jeshi la Polisi Basi hata Assistant Commissioner ni Kamishna atajitokeza lakin ikitamkwa Full Commusioner Basi hata SACP na DCP hawahusiki hapo anahitaji CP na itatamkwa full kumtofautisha na wale na Assistant na na Deputy!
Full kamishna ndio cheo gani cha kijeshi? unavijua vyeo vya kijeshi wewe?
Naibu ni mtaalamu na mtendaji,sasa mtu kafundishwa kuendesha vifaru na magwaride ataweza wapi? Sana sana atatumia nguvu badala ya utaalamu
Watu wa vijiweni ndio waliowajaza ujinga huo. Jeshi linaitwaje kwa kiingereza?Watu wote wa Vijiweni wakisikia Jeshi Basi akili zao zote zinahamia JWTZ, hawajui hata Zimamoto ni Jeshi!
CDF Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi hivyo nikisema Kamishna ni Cheo cha Kijeshi usistuke Mkuu kwa kuwa Polisi nao ni Wanajeshi japo sio wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ)
bunge limeisha; ni wakati wa kuthibitisha, koronjo za wabungeSafi Sana,
Bado Waziri wa Nishati.....
Utabiri wangu atamthibitisha home boy
Kuna sehemu nimesoma, nafikiri ni Katiba ya JMT. Viongozi wenye diplomatic passports ni wengi wakiwemo Commissioner of Police(CP), Kamishina wa Magereza, Kamishina wa Zimamoto, Meja Jenerali na Kuendelea. Hawa wanakuwa na diplomatic status mpaka wanaingia kaburini. Hakuna Brigedia Jenerali mwenye diplomatic status kwenye katiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona uko mweupe kwenye hii tasnia....Watu wote wa Vijiweni wakisikia Jeshi Basi akili zao zote zinahamia JWTZ, hawajui hata Zimamoto ni Jeshi!
CDF Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi sio Mkuu wa Jeshi hivyo nikisema Kamishna ni Cheo cha Kijeshi usistuke Mkuu kwa kuwa Polisi nao ni Wanajeshi japo sio wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ)
Nimeona uko mweupe kwenye hii tasnia....
Watu wa vijiweni ndio waliowajaza ujinga huo. Jeshi linaitwaje kwa kiingereza?
Upo sahihi Mkuu, halafu bado kuna watu wanamlinganisha Bregadier General na Kamishna, hawajui kuwa kina Kamishna Tibaigana na Kamishna Kova japo wamestaafu wanapigiwa Salute mpaka leo na kuanzia Private mpaka Bregadier General