Nimemuona DCI wa zamani Adadi Rajabu anakula kiapo, Mama kamuweka wapi, maana kila nikisoma majina ya teuzi simuoni lakini kwenye TV nimemuona!!!Nafasi wanazoteuliwa hazina tofauti na JK au Mwinyi kuwa wakuu wa vyuo,sio za Kiutendaji.
Kwenye bodi ya PPRANimemuona DCI wa zamani Adadi Rajabu anakula kiapo, Mama kamuweka wapi, maana kila nikisoma majina ya teuzi simuoni lakini kwenye TV nimemuona!!!
Majina yale yale miaka yoteRais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Kuwa Prof. sio kuwa na akili au uwezo zaidi ya wengine! Kuna ma-Prof wengi sana lakini Musukuma na std 7 yake anawashinda ktk mambo mengi. Na hawa ndio wale wachumia tumbo!Mukandala si ndio Mwenyekiti wa lile genge lao lililoambiwa lihalalishe haramu ya kutunyima Katiba mpya mpaka hapo Hangaya atakapofanikiwa kuwa Rais 2025!! Sasa wanamuhonga cheo yule muhaya mamluki.
Nyingi sana, muhimu upate connection tu.ila tz kuna kazi nyingi kumbe eee?!!!
Hao wachache watukanaji ndio uwatumie kuhalalisha tabia za vijana wote? Hii sio sawa.Wivu utakuua mwamba! Vijana wa Tanzania hamjielewi! Ona Katambi alivyotukana wenzie, sasa unataka na wewe tukupe nafasi ili utuzodoe?
Aisee! Hapo kwenye connection sasa ndo penye tatizo!!Nyingi sana, muhimu upate connection tu.
Samaki mmoja akioza mwamba!😁😁😂😂😂Hao wachache watukanaji ndio uwatumie kuhalalisha tabia za vijana wote? Hii sio sawa.
Wazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Maswi ni Hardworker sema wakati wa mwendazake nadhani hakuwa upande wa JPM!!Maswi again
Kwani hao wakipendana kuna tatizo. Kwani GPO inasemaje kuhusu hili?
Majina yale yale yanazunguka tangu nimepata akili, hivi huwa hakuna watu wengine wa kuteua?Tufaiti KATIBA ibadilishwe ili nafasi hizi watu waingie kwa uwezo (kuomba) au merits Basi si kwa mauteuzi haya ya wafalme na kwa kujuana
Asante sana Mkuu ubarikiwe sana!!Kwenye bodi ya PPRA
Kuwa Prof. sio kuwa na akili au uwezo zaidi ya wengine! Kuna ma-Prof wengi sana lakini Musukuma na std 7 yake anawashinda ktk mambo mengi. Na hawa ndio wale wachumia tumbo!
Sefue tena ! Vijana kama hamkupata zile hela za Halmashauri basi labda nyie ni Wakenya .
Sefue tena ! Vijana kama hamkupata zile hela za Halmashauri basi labda nyie ni Wakenya .
Jiwe alimtumbua mazima