Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

Nafasi wanazoteuliwa hazina tofauti na JK au Mwinyi kuwa wakuu wa vyuo,sio za Kiutendaji.
Nimemuona DCI wa zamani Adadi Rajabu anakula kiapo, Mama kamuweka wapi, maana kila nikisoma majina ya teuzi simuoni lakini kwenye TV nimemuona!!!
 
Leo wakati rais Magufuli akipokea ripoti ya Uchunguzi wa Madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na Bunge, ameataka wateule wake wote waliotajwa kwenye hiyo report wakae pembeni.

Lakini Eliakim Maswi bado yupo Ofisini. Hiki kiburi anakitoa wapi?

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi naye amepaswa kupisha uchunguzi ambao Rais ameagiza ufanywe na vyombo vya ulinzi na usalama haraka iwezekanavyo.

Hizi sio zile nyakati za kuwaita watu Tumbili. Tupishe mzee, umekula vya kutosha.

Nashauri TAKUKURU waanze na wewe.

Rais John Magufuli baada ya sakata la ESCROW, alimrejesha bwana Eliakim Maswi kuwa katibu tawala wa mkoa wa Manyara baada ya kukamilisha kazi maalum aliyomtuma katika mamlaka ya mapato Tanzania(TRA).

Kabla ya kurejeshwa, bwana Maswi aliteuliwa kuwa Kaimu naibu kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA).
 
Mukandala si ndio Mwenyekiti wa lile genge lao lililoambiwa lihalalishe haramu ya kutunyima Katiba mpya mpaka hapo Hangaya atakapofanikiwa kuwa Rais 2025!! Sasa wanamuhonga cheo yule muhaya mamluki.
Kuwa Prof. sio kuwa na akili au uwezo zaidi ya wengine! Kuna ma-Prof wengi sana lakini Musukuma na std 7 yake anawashinda ktk mambo mengi. Na hawa ndio wale wachumia tumbo!
 
Wivu utakuua mwamba! Vijana wa Tanzania hamjielewi! Ona Katambi alivyotukana wenzie, sasa unataka na wewe tukupe nafasi ili utuzodoe?
Hao wachache watukanaji ndio uwatumie kuhalalisha tabia za vijana wote? Hii sio sawa.
 
Tufaiti KATIBA ibadilishwe ili nafasi hizi watu waingie kwa uwezo (kuomba) au merits Basi si kwa mauteuzi haya ya wafalme na kwa kujuana
Majina yale yale yanazunguka tangu nimepata akili, hivi huwa hakuna watu wengine wa kuteua?
 
Kuwa Prof. sio kuwa na akili au uwezo zaidi ya wengine! Kuna ma-Prof wengi sana lakini Musukuma na std 7 yake anawashinda ktk mambo mengi. Na hawa ndio wale wachumia tumbo!

Huyo Mukandara ndio Chawa mchumia tumbo prpoer BOJO!
 
Sefue tena ! Vijana kama hamkupata zile hela za Halmashauri basi labda nyie ni Wakenya .

Kuna nafasi kama hiyo aliyoteuliwa Sefue zinahitaji mtu mwenye uzoefu na mkomavu sio mpenda kupanda helicopter!!!
 
Jiwe alimtumbua mazima

Kikwete alipenda sana Kuwapa vyeo wanawake; kulikuwa huyu Irene Kisaka na mwingine alitolewa toka Botswana kuja TIC na wote hao Jiwe alipoingia aliwatumbua!! Mjomba wa Msoga ana haiba ya kike na ndio maana anakuwa very confortable akawa na wanawake!!
 
Back
Top Bottom