Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.

Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.

Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.

Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
Unaweza kukuta we ndo unayedanganywa, kwa vile umejawa na chuki na wivu basi huliono hilo......
 
Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.

Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.

Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.

Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
Wivu utakuua mwamba! Vijana wa Tanzania hamjielewi! Ona Katambi alivyotukana wenzie, sasa unataka na wewe tukupe nafasi ili utuzodoe?
 
Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.

Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.

Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.

Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
Tufaiti KATIBA ibadilishwe ili nafasi hizi watu waingie kwa uwezo (kuomba) au merits Basi si kwa mauteuzi haya ya wafalme na kwa kujuana
 
Hii nchi bila kupasuana hamna cha maana tutakacho achieve. Its high time CCM must be dethroned!

Hizi ni dharau za wazi wazi kabisa, ni sawa na kibaka mzoefu anayevunja na kuiba TV za majirani kutolewa mahabusu na kupewa uwenyekiti wa kijiji sababu tu baba yake ana cheo CCM.

Kama hii ndio tafsiri ya kulamba asali tumefikia hatua mbaya kama taifa. Huu usukule inabidi ufike mwisho.
 
Sasa mkuu..wewe ni profesa tukutafutie uenyekiti wa chuo?
Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.

Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.

Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.

Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
 
Uyu Dr. Irene issaka,

SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.

Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.

Hii nchi hii[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe badala ya kumtumbua waziri wake mhagama katoa stress zake kwa mkurugenzi.
 
Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani​

View attachment 2232380View attachment 2232381
Rais awafute Kazi wakuu wa Mikoa wasiotetea Serikali..

Unawalipa salary watu ambao hawakupendi wa nini? Tena viongozi fukuza hao..

Wako watu wako tayari kufanya Kazi na wewe kwa nini kujipa shida?
 
Kwani maprofesa ni hao tu nchi hii?
Unateua watu walio tayari kufanya Kazi na wewe na kukupigania ..

Yaani niteue jitu liwe linajifanya kunikosoa? Hujaona ccm wanasema wakuu wa hawamsifii mama kama walivyofanya awamu ya 5? Sababu ni kwamba aliwaacha wateule wa Jiwe karibu wote.
 
Back
Top Bottom