kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Inashangaza sanaWazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sanaWazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Unaweza kukuta we ndo unayedanganywa, kwa vile umejawa na chuki na wivu basi huliono hilo......Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.
Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.
Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.
Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
nw alamba asaliJiwe alimtumbua mazima
Kwani Tanzania kuna vijana wanaojielewa? Wacha tu wazee waendelee kufaudu matunda ya uhuru waliousumbukia! Vijana wenyewe ni hawa hawa akina Katambi wanaotukana vijana wenzao!Wazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Wivu utakuua mwamba! Vijana wa Tanzania hamjielewi! Ona Katambi alivyotukana wenzie, sasa unataka na wewe tukupe nafasi ili utuzodoe?Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.
Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.
Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.
Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
Tufaiti KATIBA ibadilishwe ili nafasi hizi watu waingie kwa uwezo (kuomba) au merits Basi si kwa mauteuzi haya ya wafalme na kwa kujuanaHuyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.
Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.
Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.
Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
😂😂🤣🤣😅😆😆😁😄😄😃😃😀Anko Sefue tunajua kilichomtoa sasa”ametakaswa”
Huyu mama kazi yake ni kuturudishia wazee na vikongwe waliochoka kwenye nafasi serikalini.
Unashindwa kuewa kila siku majina ni yale yale common as if kwamba bila hao jamaa hii nchi haiwezi kwenda.
Maswi yuko pale NBAA, anaelekea kustaafu.
Ifike wakati huyu mama na genge lake na wezi linalomdanganya waelewe kua nchi hii ni ya watanzania wote sio kikundi flani cha watu.
Jiwe badala ya kumtumbua waziri wake mhagama katoa stress zake kwa mkurugenzi.Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wenu ushapitaNchi inaliwa na wenye meno.
VIJANA wote ni.kama Makonda na Sabaya Mnalewa HARAKA MADARAKAWazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Marehemu alikuwa ANAWADANGANYA MCHANA KWEUPE mazuzu yanamshangiliaUyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais awafute Kazi wakuu wa Mikoa wasiotetea Serikali..Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
View attachment 2232380View attachment 2232381
Nafasi wanazoteuliwa hazina tofauti na JK au Mwinyi kuwa wakuu wa vyuo,sio za Kiutendaji.Wazee waliochoka ndio wanateuliwa.
Mwendazake si alikuwa anawachezea akili Ili mumpende kwa maigizo ya kijinga?Uyu Dr. Irene issaka,
SI ndo yule dada wa kikokotoz,magufuli alijifanya kamtumbua hadharani kwa hasira.
Kumbe kimya kimya,
alikwenda kumpachika PPRA ale maisha.
Hii nchi hii[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maprofesa ni hao tu nchi hii?Sasa mkuu..wewe ni profesa tukutafutie uenyekiti wa chuo?
Unateua watu walio tayari kufanya Kazi na wewe na kukupigania ..Kwani maprofesa ni hao tu nchi hii?