Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi.
Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.View attachment 2361064
Why RIP JPM Sasa?
Hongera sana kwao lakini imefika mahali masikio yamechoka kusikia hizi teuzi too much Sasa ifike mahali tupumzike teuzi teuzi teuzi teuziUTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili.
Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)
Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu.
Aidha Rais Samia amemteua Dkt. Peter R. Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Dkt. Kisenge anachukua nafasi ya Prof. Janabi.
Kabla ya uteuzi, Dkt. Kisenge alikuwa Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa (JKCI).
View attachment 2361054
Is JKCI a subset of MNH?Kapelekwa kusimamia MNH yote, kutoka kwenye Taasisi
Huyu si ndio alikuwa daktari wa mZiLaNkeNdE.Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi.
Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.View attachment 2361064
Taarifa inatoka kulingana na Mteuaji AlipoKwa nini hii taarifa imeandikwa 'London' hapo juu? Kuna umuhimu gani kufanya hivyo hata kama Rais yupo huko hivi sasa?
Wasomi wanaotakiwa watuvushe, tena wengine wana 'exposure' kama hawa kina Zuhura ndiyo hawa wanafanya kazi hivi. Au anadhani yuko BBC Swahili anarepoti kutoka London?
Yule mtu wenu alikuwa mgonjwa tu wa muda mrefu. Msianze kutafuta sababuUyo MoJa naskia ndo alikua mastermind wa kuling'oa lile jabali[emoji41]
Halafu Tuone Kisenge ataondoa Mambo ya Kisenge Hapo JKNgoja tusubiri mambo ya kisenge
Asante sana Mama kumpandisha Cheo huyu Daktari. Dr Kisenge ni Daktari makini sana wa Moyo. Hakika tuliopitia katika Mikono yake kimatibabu ninampongeza. Daktari unastahili na uzidi kuinuliwa Viwango vya Juu. Hongera sana Daktari Peter Richard Kisenge.Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi.
Dkt. Kisenge ni Mkurugenzi wa Tafiti na Mafunzo wa JKCI.View attachment 2361064
Kusema Ukweli Hawa Madaktari wanastahili hizi teuzi. Wanajituma mno na wanatumika taaluma zao kuokoa Maisha ya Watanzania Wengi wanaosumbuliwa na Magonjwa ya Moyo.ππππHuyo ni mmoja wa ma Prof makini sana, ana stahili hicho cheo. Huyo ndiye daktari wa taifa
Kama baba yako na wewe piaNchi hali mbaya wanazidi kujaza wajinga tena
Alikuwa doctor binafsi wa kikweteAcha mambo yako mleta mada. Janabi hajafanya kazi 2021 pekee, amefanya mambo mengi ya kutukuka kwa miaka mingi tu.
We nani kakwambia JKCI ipo chini ya MNH!. MOI, JKCI. na MNH ni taasisi 3 tofauti na zinajitegemea. Nakwa mloganzila kwanzia mwezi wa 7 pia ilitolewa chini ya usimamizi wa MNH. Hivyo inaanza kujitegemea. JKCI ni pazuri mno kuzidi MNH, maana wanadonations za research za kutosha na pesa ya matibabu yake ni next level, kwaujumla MNH hapapafikii JKCI hata kidogo. MNH ni hospitali ya Muhimbili pekee basi!Asante sana Mama kumpandisha Cheo huyu Daktari. Dr Kisenge ni Daktari makini sana wa Moyo. Hakika tuliopitia katika Mikono yake kimatibabu ninampongeza. Daktari unastahili na uzidi kuinuliwa Viwango vya Juu. Hongera sana Daktari Peter Richard Kisenge.
Halafu hii habari inasemekana eti.... labda kweli.Uyo MoJa naskia ndo alikua mastermind wa kuling'oa lile jabali[emoji41]
N
Ani mjinga hapo? Kama sio wewe?
Huo ni ujinga. Taarifa inatoka Ofisi ya Rais, Ikulu na Ikulu haitembei naye kila anapokwenda.Taarifa inatoka kulingana na Mteuaji Alipo