Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024

Hiyo nafasi ya Kamishina wa Utawala na Menejiment ya rasililimali watu ndani ya Jeshi la Polisi uteuzi wake huwa unafanywa na rais? Au mimi ndiye mgeni wa mambo yenu huko mjini?
 
Ngoja sasa tuingie chimbo kupata mafaili yao
 
Wanaccm ambao mnajipendekeza na kumuunga mkono huyu chura kiziwi hamtutendei haki kabisa sisi Watanganyika.
 
Mbona taasisi nyingine za kiuchunguzi DG wao wanateua viongozi wenyewe iweje PT wachaguliwe na Mh.rais?
 
Inaonekana wanaoteuliwa ni ambao wako royal kwa Rais personal, sio wenye weledi. Inaonekana hawezi kudili na maoni, mtazamo wa ukweli.

Ndio maana teuzi, tenguzi kila siku Usalama wa Taifa,, mawaziri, mapolisi, wakugenzi, wakuu wa mikoa, wilaya kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…