Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024

Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024

Wanaccm ambao mnajipendekeza na kumuunga mkono huyu chura kiziwi hamtutendei haki kabisa sisi Watanganyika.
Kwa taarifa tu asilimia zaidi ya 90% ya machawa yanayoimba mama...mama Kila muda yanatoka huku huku Tanganyika, ila wanufaika wa daraja la juu kabisa wa huu utawala wa chura kiziwe ni wazanzibari ambao huwaskii wakiimba nyimbo zozote za kumsifu chura
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

  1. Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Kombo Khamis Kombo amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Atachukua nafasi ya CP. Hamad Khamis Hamad, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
  2. Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Tatu Rashid Jumbe amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu katika Jeshi la Polisi. Atachukua nafasi ya CP. Suzan Kaganda, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
Tatu Rashid Jumbe.....saluti sana kwake......Huyu ana moyo wa kizalendo pia anaheshimisha Jeshi la Polisi,,,,
Halafu hili jina kama nilicheza nae gwaride pahala..... MIAKA 23 toka Mwenge ukimbizwe.....
 
Wewe ndo unaowataman wachaga
kila mda unawaraja hata mahali ambapo hakuna umuhimu wowote wa kuwataja
Hao Mabwashee naongea nao daily Hapa JF iwe positively au negatively

Sasa wewe mndendeule unayejifunzia kutukana JF utanisaidia nini

Kama kutukana Genta yupo anaweza kukufundisha Matusi ya Gen Z 🐼

Hayawani wahed 🐼
 
Inaonekana wanaoteuliwa ni ambao wako royal kwa Rais personal, sio wenye weledi. Inaonekana hawezi kudili na maoni, mtazamo wa ukweli.

Ndio maana teuzi, tenguzi kila siku Usalama wa Taifa,, mawaziri, mapolisi, wakugenzi, wakuu wa mikoa, wilaya kila sehemu.
Naweza kuelewa mtu akikosea kutamka, basi hata kuandika kamanda? ... kabla ya kuwa mchambuzi wa mambo ya utawala kwanza kajifunze kutofautisha maneno haya "Royal" na "Loyal"
 
Katika vyote unatafuta makosa madogo madogo yapo mengi sana tu.

Sababu ya auto - correction karibu kwa kila mtu dunianinhadi Trump.

Nenda ukaangalie makosa kwa maelfu posts zangu zilizopita. Nioneshe zako zisizo na auto- correction za hapa na pale. Na tuchunguze za kwako zote.Utoto.
 
Oooh kumbe ni auto-correction, hapo sawa. Huwa nakereka tu ule ujinga wa kutokujua hata kuandika sawasawa halafu mtu akajifanya ni mwerevu wa mambo mazito zaidi.

Tukirudi katika huo uteuzi wa mara kwa mara unaoungelea ... sasa nikuulize kwanini raisi alipewa fursa hiyo ya kuteua na sio watu kugombania hizo nafasi? Obviously ni nafasi za utekelezaji kulingana na muongozo wa kile kinachosimamiwa na Raisi. Ikiwa hivyo ndivyo basi ana haki ya kuteua na kutengua hata kila wiki ikiwa yule aliyehisi atamfaa kufanya hiyo kazi hajafikia mategemeo yake, ama labda ameona anaweza kumsaidia zaidi kwenye nafasi nyengine.

Loyalty ni muhimu sana kwa nafasi za kuteuliwa otherwise kama mtu haamini katika kile alichotumwa basi ajiuzulu.
 
Wazenji huu muda wao wa kutamba.
Wanakula tyuu teuzi. Mweeeh
 
Kila kiongozi, magazeti, Radio, TV, hata wataalamu wa Lugha wana wahariri. Proof reader. Kazi yao ni kuhakikisha sentensi imenyooka.

Nimeona makosa kibao kwenye sentensi za SSH, JPM, Kikwete, Trump tweets. Unababaika na kuwewesekana vitu vidogo sana.

Hata mtandaoni sijaona mtu asiyekosea. Werevu wanachukua, kujibu contents,,serious message. Don't be bother about language.

Global world unaongea na mtu yuko Syria., Sudan,,Yemen unahangaika na lugha sahihi?

Wenzako wote vijijini Tanzania nzima hawajui lugha sahihi. Unafanyaje, ignore them?
 
Oooh kumbe ni auto-correction, hapo sawa. Huwa nakereka tu ule ujinga wa kutokujua hata kuandika sawasawa halafu mtu akajifanya ni mwerevu wa mambo mazito zaidi.

Tukirudi katika huo uteuzi wa mara kwa mara unaoungelea ... sasa nikuulize kwanini raisi alipewa fursa hiyo ya kuteua na sio watu kugombania hizo nafasi? Obviously ni nafasi za utekelezaji kulingana na muongozo wa kile kinachosimamiwa na Raisi. Ikiwa hivyo ndivyo basi ana haki ya kuteua na kutengua hata kila wiki ikiwa yule aliyehisi atamfaa kufanya hiyo kazi hajafikia mategemeo yake, ama labda ameona anaweza kumsaidia zaidi kwenye nafasi nyengine.

Loyalty ni muhimu sana kwa nafasi za kuteuliwa otherwise kama mtu haamini katika kile alichotumwa basi ajiuzulu.
Unauliza Kwanini Rais alipewa fursa ya kuteua.?

Hakuna aliyompa hiyo fursa. Fursa alipewa JPM. Ndio maana unamuona hayuko serious na
kitu Chochote Tanganyika. Akiamka anamuondoa Waziri wa ardhi, Mkuu wa usalama wa Taifa sababu boyfriend wake, wasagaji wenzake, washikaji wake wamesema hivyo.
 
Back
Top Bottom