spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kuanzia leo siendi kama spidernyoka
Naenda kama Sharifu Ame Thabit Mzee
Naenda kama Sharifu Ame Thabit Mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiyoni weweMods huyu MSIMPE BANN ametukana Bila kukusudia , ni hasira baada bya kutajwa kabila lake mara kwa mara 😀😀🤔🤔
Waliomkataa walisemaje changamoto zake.? Mnoko au ni mkimbizi? Au ana misimamo conservative? Au wivu kwa sababu ana akili mingi? Au mbinafsi anachukia wanachofanya wenzake ila yeye akifanya kitu hicho hicho ni sawa?Watu walimtabiria Suzana makubwa sana ile position ya Mkuu wa kazi ila kuna watu walikataa humu humu kuna thread fulani hivi hatimaye yametimia.
Alizengua mwenyeweWatu walimtabiria Suzana makubwa sana ile position ya Mkuu wa kazi ila kuna watu walikataa humu humu kuna thread fulani hivi hatimaye yametimia.
Tulia Maendeleo hayana mipaka,Kuna mzee Aliomba juz juz vijana wa visiwan watafutiwe ajiraMbona wote wanzaibar
Baadhi ya walioteuliiwa ni graduates pia, tena wakiwa na uzoefu hadi wa nchi za nje.Pdf Kila siku inasoma watu wale wale!
Graduate wanaendesha boda boda mjini!
Soma na wewe madrasa uchaguliweKutoka madrasa.
Wananchi wanatekwa na kuuawa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
- Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Kombo Khamis Kombo amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Atachukua nafasi ya CP. Hamad Khamis Hamad, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
- Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Tatu Rashid Jumbe amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu katika Jeshi la Polisi. Atachukua nafasi ya CP. Suzan Kaganda, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
astakghafulwaiHivi wewe laiyoni mkubwa una matatizo gani na wachaga?
Walikutomba? Punguani wewe
Ule mfumo ovu ndiyo unasimikwaWananchi wanatekwa na kuuawa.
Mama yupo bize kuteua watu huku akiwaacha wahuni kwenye nafasi zao
Ulipokuwa msimu wa Suzan, John na George wewe ulikuwa wapi? Mbona hukusema?Msimu wa kina Kombo, Cholo, Chidi huu.
Mulipokuwa nyinyi Wazanzibari walikuwa mazuzu? Wacha ndoto za alinacha.Daah Watanganyika tumekuwa mazuzu
Bila shaka msimamo upo ndani yake.Waliomkataa walisemaje changamoto zake.? Mnoko au ni mkimbizi? Au ana misimamo conservative? Au wivu kwa sababu ana akili mingi? Au mbinafsi anachukia wanachofanya wenzake ila yeye akifanya kitu hicho hicho ni sawa?
Rais huwa anateua IGP naibu na wale CP's so inawezekana,na hata hvyo ye ni amiri jeshi mkuu kumbuka.Hiyo nafasi ya Kamishina wa Utawala na Menejiment ya rasililimali watu ndani ya Jeshi la Polisi uteuzi wake huwa unafanywa na rais? Au mimi ndiye mgeni wa mambo yenu huko mjini?
Ndio maana Mimi siku zote huwa naamini hili taifa hili lisonge mbele kutoka hapa lililopo, labda siku limpate kiongozi mwenye huruma na Nia ya dhati ya kuliongoza taifa hili katika uelekeo chanya, kitu ambacho hakiwezi kutokea afrika hapa.... Hapa viongozi wanapatikana ni WEZI na walafi wanaopenda kuishi kifalmeUkiwa Rais kwenye nchi kama Tanzania, unakuwa huna tofauti na mtawala wa kifalme wa Ulaya kipindi cha mfumo wa Unyonyaji. Yaani unakuwa na mamlaka makubwa na pia nguvu za ajabu mpaka inasikitisha.
Wachaga walikuharibu sana huko nyuma alafu cha ajabu baada ya kukuharibu hawana mda na weweWewe siyo mchagga punguza kiherehere pambaf!