Kwa taarifa tu asilimia zaidi ya 90% ya machawa yanayoimba mama...mama Kila muda yanatoka huku huku Tanganyika, ila wanufaika wa daraja la juu kabisa wa huu utawala wa chura kiziwe ni wazanzibari ambao huwaskii wakiimba nyimbo zozote za kumsifu churaWanaccm ambao mnajipendekeza na kumuunga mkono huyu chura kiziwi hamtutendei haki kabisa sisi Watanganyika.
Tatu Rashid Jumbe.....saluti sana kwake......Huyu ana moyo wa kizalendo pia anaheshimisha Jeshi la Polisi,,,,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
- Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Kombo Khamis Kombo amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Atachukua nafasi ya CP. Hamad Khamis Hamad, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
- Naibu Kamishna wa Polisi DCP. Tatu Rashid Jumbe amepandishwa cheo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu katika Jeshi la Polisi. Atachukua nafasi ya CP. Suzan Kaganda, ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
Jiue,acheni chukiKutoka madrasa.
Hama nchi mkuu, maana katiba ndio inampa mamlaka RaisMbona taasisi nyingine za kiuchunguzi DG wao wanateua viongozi wenyewe iweje PT wachaguliwe na Mh.rais?
Wapo sehemu mbalimbali duniani...wanajiandaa kwenda MOshi kula kirisimasiiii/ Uchagga
Wewe siyo MchaggaWachaga walikuharibu sana huko nyuma alafu cha ajabu baada ya kukuharibu hawana mda na wewe
Wewe ndo uko nao bize
Na Wenzao Wakinga wanaelekea Makete kupeleka Hesabu ππWapo sehemu mbalimbali duniani...wanajiandaa kwenda MOshi kula kirisimasiiii
Kitendo wachaga walichokufanyia huko nyuma kimekuachia trauma pole utaponaWewe siyo Mchagga
Pambaf πΌ
Usiwasemee Wachagga pumbaf!Kitendo wachaga walichokufanyia huko nyuma kimekuachia trauma pole utapona
Mtu mzima kama wewe ni wakuwalilia wachaga baada ya kuwa hawana mda na wewe pole utaponaUsiwasemee Wachagga pumbaf!
Wewe ongelea Wandendeule Wenzako πΌ
Wewe ni mndendeuleMtu mzima kama wewe ni wakuwalilia wachaga baada ya kuwa hawana mda na wewe pole utapona
Wewe ndo unaowataman wachagaWewe ni mndendeule
Wachagga hata miandiko yao utaijua kwa sababu Dini iliwafikia mapema
Unawatamani akina Ben Neta wa Jf
Pambaf kabisa πΌ
Hao Mabwashee naongea nao daily Hapa JF iwe positively au negativelyWewe ndo unaowataman wachaga
kila mda unawaraja hata mahali ambapo hakuna umuhimu wowote wa kuwataja
Naweza kuelewa mtu akikosea kutamka, basi hata kuandika kamanda? ... kabla ya kuwa mchambuzi wa mambo ya utawala kwanza kajifunze kutofautisha maneno haya "Royal" na "Loyal"Inaonekana wanaoteuliwa ni ambao wako royal kwa Rais personal, sio wenye weledi. Inaonekana hawezi kudili na maoni, mtazamo wa ukweli.
Ndio maana teuzi, tenguzi kila siku Usalama wa Taifa,, mawaziri, mapolisi, wakugenzi, wakuu wa mikoa, wilaya kila sehemu.
π€£π€£ππππLaiyoni wewe
ππ€£π€£π€£ππππLaiyoni wewe
Oooh kumbe ni auto-correction, hapo sawa. Huwa nakereka tu ule ujinga wa kutokujua hata kuandika sawasawa halafu mtu akajifanya ni mwerevu wa mambo mazito zaidi.Katika vyote unatafuta makosa madogo madogo yapo mengi sana tu.
Sababu ya auto - correction karibu kwa kila mtu dunianinhadi Trump.
Nenda ukaangalie makosa kwa maelfu posts zangu zilizopita. Nioneshe zako zisizo na auto- correction za hapa na pale. Na tuchunguze za kwako zote.Utoto.
Oooh kumbe ni auto-correction, hapo sawa. Huwa nakereka tu ule ujinga wa kutokujua hata kuandika sawasawa halafu mtu akajifanya ni mwerevu wa mambo mazito zaidi.
Tukirudi katika huo uteuzi wa mara kwa mara unaoungelea ... sasa nikuulize kwanini raisi alipewa fursa hiyo ya kuteua na sio watu kugombania hizo nafasi? Obviously ni nafasi za utekelezaji kulingana na muongozo wa kile kinachosimamiwa na Raisi. Ikiwa hivyo ndivyo basi ana haki ya kuteua na kutengua hata kila wiki ikiwa yule aliyehisi atamfaa kufanya hiyo kazi hajafikia mategemeo yake, ama labda ameona anaweza kumsaidia zaidi kwenye nafasi nyengine.
Loyalty ni muhimu sana kwa nafasi za kuteuliwa otherwise kama mtu haamini katika kile alichotumwa basi ajiuzulu.
Unauliza Kwanini Rais alipewa fursa ya kuteua.?Oooh kumbe ni auto-correction, hapo sawa. Huwa nakereka tu ule ujinga wa kutokujua hata kuandika sawasawa halafu mtu akajifanya ni mwerevu wa mambo mazito zaidi.
Tukirudi katika huo uteuzi wa mara kwa mara unaoungelea ... sasa nikuulize kwanini raisi alipewa fursa hiyo ya kuteua na sio watu kugombania hizo nafasi? Obviously ni nafasi za utekelezaji kulingana na muongozo wa kile kinachosimamiwa na Raisi. Ikiwa hivyo ndivyo basi ana haki ya kuteua na kutengua hata kila wiki ikiwa yule aliyehisi atamfaa kufanya hiyo kazi hajafikia mategemeo yake, ama labda ameona anaweza kumsaidia zaidi kwenye nafasi nyengine.
Loyalty ni muhimu sana kwa nafasi za kuteuliwa otherwise kama mtu haamini katika kile alichotumwa basi ajiuzulu.