GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
431
Reaction score
1,594
​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

​

Chanzo: Millard ayo
 
Hatuna interest yeyote na huu upuuzi...damu ya watanganyika haitakaa kimya
 
Rubbish
Punguzeni kutuwekea haya maandiko.
Kuna familia zinalia mko humu kueneza ubatili.
 
View attachment 3499846
Asimsahau huyu bibie maana kachangia ushindi wake wa wizi kwa asilimia 98%
...
Huyo bibi hakuna alichofanya maana kura alizoweka humo sio zilizotangazwa, zilizotangazwa ni za kupikwa zimeletwa kwa wasimamizi wakaambiwa tangazeni hizi sio hizo ingawa aalichofanya hapo kinafanana na kile kilichofanywa ndio maana mpaka kesho namshangaa yule jaji aliekua anatangaza matokeo hivi haoni aibu mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…