GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
wewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekiti
Kakae Chini utafakari kwa kina na ujijibu zaidi waziri Mkuu katika Taifa ni nani?
Ni vile tu wengi wao wanaoteuliwa wana busara sana ila ni nafasi nzito sana ambayo hakuna wa kuifikia nje ya Rais na makamu wake.
 
wewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekiti
KM ana uwezo wa kumfutia ubunge mbunge? Yaani Kuna vituko unavisoma unasema elimu inahitajika sana. Ingekuwa ni rahisi kama unavyosema basi wengi wangekuwa sio wabunge
 
Dorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?

Mbona anajishushia heshima?

Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Njaa
 
...
Huyo bibi hakuna alichofanya maana kura alizoweka humo sio zilizotangazwa, zilizotangazwa ni za kupikwa zimeletwa kwa wasimamizi wakaambiwa tangazeni hizi sio hizo ingawa aalichofanya hapo kinafanana na kile kilichofanywa ndio maana mpaka kesho namshangaa yule jaji aliekua anatangaza matokeo hivi haoni aibu mpaka leo?
muandiko mdogo wa namna hii endelea kuutumia huko kwenye mawasiliano yko mengine, usitake kutuharibu macho yetu
 
KM ana uwezo wa kumfutia ubunge mbunge? Yaani Kuna vituko unavisoma unasema elimu inahitajika sana. Ingekuwa ni rahisi kama unavyosema basi wengi wangekuwa sio wabunge
wewe mjinga kweli soma elimu ya uraia chama ccm ndo kina mchagua nani agombeee na nani awe mwanachama wakikufutia uanachama unapotea nafasi zako zote ndo maaana ni watiiifu kwa ccm balaaa
 
Ningekuuliza swali na mimi ila nafikiri hautoweza kulijibu, hao wabunge unaosema wamegombea wamechaguliwa na nani?
Nimeuliza kwa ujumla mkuu ili kufahamu na sina maana ya hao wa mwaka huu

Hii katiba ya hovyo inakuwaje mbunge ateuliwe na rais akienda bungeni anaenda kumuwakilisha nani? Au anamuwakilisha rais ili iweje?
 
Vingine vyote ni sawa isipokuwa hela ya mafuta jimboni na hela ya mfuko wa jimbo.
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu

Nyerere na mwinyi walijiwekea katiba yao wenyewe sio ya wananchi yani unateua mbunge akakuwakilishe bungeni?
 
Hadi mtoto wa Mwinyi ndani
Wazanzibar 4
Watanganyika 2
Yaani Zanzibar yenye Raia 1m inazidi uwakilishi Tanganyika yenye raia 67m
Tutaimba nyimbo zote hivi tulijua maana ya zile kinga za kutoshitakiwa kwa ile mihimili mi 3?
 
Back
Top Bottom