makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Hivi vyeo vya kupeana shukrani ilibidi vifutwe
Anapata stahiki zoteKwa ajili ya kufahamu tu, hivi mbunge wa kuteuliwa analipwa sawa na mbunge wa kugombea?
tar 9 uwepo barabaran sio unaponza wenzako tuMwizi wa kura anapofanya uteuzi.
Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheriaRubbish
Punguzeni kutuwekea haya maandiko.
Kuna familia zinalia mko humu kueneza ubatili.
Wazanzibari watatu. Kagera 1,Singida 1 na Mara 1.Wazanzibar wapo wangapi katika huo uteuzi
Naona wakristo wapo wawili tu
Huyo bibi wa nini sasa.Ila sema pale ni yule mzenji.Balozi Dkt.Asharose migiro angetufaa sana mambo ya nje
Yaani hata hizi walizozijaza hawakuweza kuzihesabu zote
Hivi Dr Bashiru Kakurwa ni njaa ya uongozi ama nini? Huyu jamaa kutoka kuwa Critic wa serikali ya Kikwete mpaka kuwa CHAWA wa Typist Samia Suluhu HassanRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
Kwanini mnataka kumpashia huyu kinyangarika asiye hata na thamani ya thumni? Pamoja na uwezo mdogo alionao Samuya, pamoja na ujambazi wa kura, unadhani hajui Yeriko ni Deo Kisandu aliyechangamka?Yericko jasusi uchwara hayumo?
Kawaulize CCM wenzako.Hivi Jokate ndio kaachwa nje ya mfumo?
Kumbe yale madela yaliyokuwa yamevimba tukifikiri ni nyash kumbe ni kula za wizi zile?View attachment 3499846
Asimsahau huyu bibie maana kachangia ushindi wake wa wizi kwa asilimia 98%