Kenya hii , husiki lafudh yake?View attachment 3499846
Asimsahau huyu bibie maana kachangia ushindi wake wa wizi kwa asilimia 98%
Kenya hii , husiki lafudh yake?View attachment 3499846
Asimsahau huyu bibie maana kachangia ushindi wake wa wizi kwa asilimia 98%
Kwani anajali ?Dorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?
Mbona anajishushia heshima?
Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Is she married?
Vipi jamii forum ifungiwe?Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheria
Hzo familia ziliwatuma hao watu au zilishtukia tu watu wao wamekula misumari baada ya kufanya ujambazi kwa mgongo wa maandamano.
Interest gani usiyoitaka zaidi ya hii kusoma na kucommentHatuna interest yeyote na huu upuuzi...damu ya watanganyika haitakaa kimya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
nilihisi tu kuwa Bashiru kuna kitu atakuwa ameahidiwa tuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
kama nisingeona hiyo namba 4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
Toilet paper ikishatumika....Yericko jasusi uchwara hayumo?
Vingine vyote ni sawa isipokuwa hela ya mafuta jimboni na hela ya mfuko wa jimbo.Kwa ajili ya kufahamu tu, hivi mbunge wa kuteuliwa analipwa sawa na mbunge wa kugombea?
Watu wa kuwashangaa ni hao walio teuliwa; hasa huyo Dorothy kukubali uteuzi wa aina hii!Rubbish
Punguzeni kutuwekea haya maandiko.
Kuna familia zinalia mko humu kueneza ubatili.
Binafsi sina tatizo na uteuzi wa Mh Dkt. Gwajima D , pamoja na madhambi mengi katika mamlaka yake ya uteuzi maisha lazima yaendelee, na utendaji wa Gwajima kwa nyakati zote umekuwa ukiegemea upande wa wananchi tofauti na tunavyoona Kwa viongozi wengine wanavyofanya Kwa Ku base kwenye Uchama na uwajibikaji hafifu. I Just wish her all the Best.Dkt. Gwajima D atakuwa amepoteza credibility yake aliyojijengea kwa miaka kadhaa, hasa kwa wanamitandao. Tunakubali anatetea tumbo, ila for the sake of our fellow countrymen who died during elections, muwajibikaji(sio mwafrika in this case) hawezi kukubali uteuzi.
katibu mkuu CCM ni cheo kikubwa kuliko waziri yeyote au waziri mkuuuBalozi Dkt.Asharose migiro angetufaa sana mambo ya nje
Mnasimuliana bila kupeana nafasi ya kutafakari kwa kina yaani KM wa CCM awe mkubwa kuliko waziri Mkuu?katibu mkuu CCM ni cheo kikubwa kuliko waziri yeyote au waziri mkuuu
wewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekitiMnasimuliana bila kupeana nafasi ya kutafakari kwa kina yaani KM wa CCM awe mkubwa kuliko waziri Mkuu?