GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hadi mtoto wa Mwinyi ndani
Wazanzibar 4
Watanganyika 2
Yaani Zanzibar yenye Raia 1m inazidi uwakilishi Tanganyika yenye raia 67m
Halafu ukiongea hivi utaskia machawa wanakwambia acha kuchochea ubaguzi, sijui mara acha udini..

...na wakati ni jambo ambalo liko wazi kabisa na linafanywa na serikali hii bila kificho.
 
Dorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?

Mbona anajishushia heshima?

Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Maisha yanaendelea kama kawaida chezea ccm wewe jama hakijatokea kitu

Nyie wafuasi wa mange mtakufa kwa kihoro
 
...
Huyo bibi hakuna alichofanya maana kura alizoweka humo sio zilizotangazwa, zilizotangazwa ni za kupikwa zimeletwa kwa wasimamizi wakaambiwa tangazeni hizi sio hizo ingawa aalichofanya hapo kinafanana na kile kilichofanywa ndio maana mpaka kesho namshangaa yule jaji aliekua anatangaza matokeo hivi haoni aibu mpaka leo?
Huyo ni miongoni mwa majizi wengi tu ambao ushahidi upo wa videoa hadi sauti.
 
Dorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?

Mbona anajishushia heshima?

Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Yumo humu serikali ambayo haijachaguliwa na watu serikali ya dola
 
Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheria

Hzo familia ziliwatuma hao watu au zilishtukia tu watu wao wamekula misumari baada ya kufanya ujambazi kwa mgongo wa maandamano.
Kvmanyoko. Jukwaa huru vipi wakati limefungiwa?
 
​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

Chanzo: Millard ayo
Hapo kuna wanne watakuwa Mawaziri
 
Mteule wa Rais haramu naye ni haramu.
 
Kakurwa hana kwao au hata ukweni akagombee apewe Jimbo mbona yeye kuteuliwa kila saa kila saa.
 
​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

Chanzo: Millard ayo
Kwamba Dkt. Gwajima D ameamua kusogea kwenye kalamu ya damu ya October 29.
Kwamba utu, haki, heshima na maadili havina maana yoyote mbele ya meza ya chakula kwake siyo?

Tumefikaje hapa kama binadamu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

Chanzo: Millard ayo
Mbona kama wanne ni wazenji?
 
Back
Top Bottom