GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rubbish
Punguzeni kutuwekea haya maandiko.
Kuna familia zinalia mko humu kueneza ubatili.
Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheria

Hzo familia ziliwatuma hao watu au zilishtukia tu watu wao wamekula misumari baada ya kufanya ujambazi kwa mgongo wa maandamano.
 
Mnawapa promosheni ya bure, hakukuwa na uchaguzi huru sasa mnafurahia muovu akiteuwa waovu wenzake?

Rais hakuchaguliwa iweje mnasherehekea anapo jipa power ya kuteuwa?

Hatutaki haram.
 
Hivi Dr Bashiru Kakurwa ni njaa ya uongozi ama nini? Huyu jamaa kutoka kuwa Critic wa serikali ya Kikwete mpaka kuwa CHAWA wa Typist Samia Suluhu Hassan
 
SISI VIJANA GEN Z
HATUMTAMBUI SAMIA KAMA RAIS.

TUNAMTAMBUA KAMA MUUAJI ASIYE NA MAISHA MAREFU.
 
Dorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?

Mbona anajishushia heshima?

Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…