Halafu ukiongea hivi utaskia machawa wanakwambia acha kuchochea ubaguzi, sijui mara acha udini..Hadi mtoto wa Mwinyi ndani
Wazanzibar 4
Watanganyika 2
Yaani Zanzibar yenye Raia 1m inazidi uwakilishi Tanganyika yenye raia 67m
Maisha yanaendelea kama kawaida chezea ccm wewe jama hakijatokea kituDorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?
Mbona anajishushia heshima?
Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Umenionea Zitto huko?Yericko jasusi uchwara hayumo?
Ndio mbinu mpya za CCM kuhadaa watuKumbe yale madela yaliyokuwa yamevimba tukifikiri ni nyash kumbe ni kula za wizi?
Huyo ni miongoni mwa majizi wengi tu ambao ushahidi upo wa videoa hadi sauti....
Huyo bibi hakuna alichofanya maana kura alizoweka humo sio zilizotangazwa, zilizotangazwa ni za kupikwa zimeletwa kwa wasimamizi wakaambiwa tangazeni hizi sio hizo ingawa aalichofanya hapo kinafanana na kile kilichofanywa ndio maana mpaka kesho namshangaa yule jaji aliekua anatangaza matokeo hivi haoni aibu mpaka leo?
Yumo humu serikali ambayo haijachaguliwa na watu serikali ya dolaDorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?
Mbona anajishushia heshima?
Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
Wana bahati kulikuwa na umuhimu wa kuzitembelea zile nyash na kuzitomasa ili kujiridhisha kuwa sio mzigo wa kura za wizi ili upigwe moto.Ndio mbinu mpya za CCM kuhadaa watu
Kvmanyoko. Jukwaa huru vipi wakati limefungiwa?Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheria
Hzo familia ziliwatuma hao watu au zilishtukia tu watu wao wamekula misumari baada ya kufanya ujambazi kwa mgongo wa maandamano.
Hapo kuna wanne watakuwa MawaziriRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
Punguza stress za kushindwa maandamano..Kvmanyoko. Jukwaa huru vipi wakati limefungiwa?
Mteule wa Rais haramu naye ni haramu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
Na Madilu?Rhimo Nyansabo, Waziri wa Fedha ajaye
Kusubiriwa na nani?Punguza stress za kushindwa maandamano..
Calm down, then bado 9122025 mnasubiriwa kwa hamu.
Kwamba Dkt. Gwajima D ameamua kusogea kwenye kalamu ya damu ya October 29.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt: Moses Kusiluka ambapo amesema wengine walioteuliwa kuwa Wabunge ni Abdullah Ali Mwinyi, Balozi Khamis Mussa Omar na Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho
Chanzo: Millard ayo
Mbona kama wanne ni wazenji?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania