GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jf ni jukwaa huru la kila mtu kuleta anachokiona kinafaa ili mradi tu asivunje sheria

Hzo familia ziliwatuma hao watu au zilishtukia tu watu wao wamekula misumari baada ya kufanya ujambazi kwa mgongo wa maandamano.
Vipi jamii forum ifungiwe?
 
Ndio maana bashiru nilimuona wakati anaapishwa kumbe alijua🤔🤔🤔
 
 
nilihisi tu kuwa Bashiru kuna kitu atakuwa ameahidiwa tu
sio bure
Bashiru yule tuliyemfahamu?
HAPANA
na kweli amepewa Leo
 
kama nisingeona hiyo namba 4
wallah ningelala nje Leo
alafu ukute nae anaplan za kugombea urais
 
Dkt. Gwajima D atakuwa amepoteza credibility yake aliyojijengea kwa miaka kadhaa, hasa kwa wanamitandao. Tunakubali anatetea tumbo, ila for the sake of our fellow countrymen who died during elections, muwajibikaji(sio mwafrika in this case) hawezi kukubali uteuzi.
 
Binafsi sina tatizo na uteuzi wa Mh Dkt. Gwajima D , pamoja na madhambi mengi katika mamlaka yake ya uteuzi maisha lazima yaendelee, na utendaji wa Gwajima kwa nyakati zote umekuwa ukiegemea upande wa wananchi tofauti na tunavyoona Kwa viongozi wengine wanavyofanya Kwa Ku base kwenye Uchama na uwajibikaji hafifu. I Just wish her all the Best.
 
Mnasimuliana bila kupeana nafasi ya kutafakari kwa kina yaani KM wa CCM awe mkubwa kuliko waziri Mkuu?
wewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…