KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Kakae Chini utafakari kwa kina na ujijibu zaidi waziri Mkuu katika Taifa ni nani?wewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekiti
KM ana uwezo wa kumfutia ubunge mbunge? Yaani Kuna vituko unavisoma unasema elimu inahitajika sana. Ingekuwa ni rahisi kama unavyosema basi wengi wangekuwa sio wabungewewe mjinga kweli angalia KM ni nani na yeye ndo uwezo wa kumfutia ubunge waziri mkuuu au mwachama yeyote wa ccm isipokuwa rais tu au mwenyekiti
NjaaDorothy Gwajima naye kweli kapokea huu uteuzi?
Mbona anajishushia heshima?
Atafanyaje kazi na serikali inayonuka damu za watoto wa kitanzania wasiokuwa na hatia?
muandiko mdogo wa namna hii endelea kuutumia huko kwenye mawasiliano yko mengine, usitake kutuharibu macho yetu...
Huyo bibi hakuna alichofanya maana kura alizoweka humo sio zilizotangazwa, zilizotangazwa ni za kupikwa zimeletwa kwa wasimamizi wakaambiwa tangazeni hizi sio hizo ingawa aalichofanya hapo kinafanana na kile kilichofanywa ndio maana mpaka kesho namshangaa yule jaji aliekua anatangaza matokeo hivi haoni aibu mpaka leo?
wewe mjinga kweli soma elimu ya uraia chama ccm ndo kina mchagua nani agombeee na nani awe mwanachama wakikufutia uanachama unapotea nafasi zako zote ndo maaana ni watiiifu kwa ccm balaaaKM ana uwezo wa kumfutia ubunge mbunge? Yaani Kuna vituko unavisoma unasema elimu inahitajika sana. Ingekuwa ni rahisi kama unavyosema basi wengi wangekuwa sio wabunge
Rais hashitakiwi labda itokee iwekewe vikwazo ajiuzuluAwateue mapema kabla ya kwenda ICC
Nimeuliza kwa ujumla mkuu ili kufahamu na sina maana ya hao wa mwaka huuNingekuuliza swali na mimi ila nafikiri hautoweza kulijibu, hao wabunge unaosema wamegombea wamechaguliwa na nani?
Ahsante kwa ufafanuzi mkuuVingine vyote ni sawa isipokuwa hela ya mafuta jimboni na hela ya mfuko wa jimbo.
Endeleeni kumsikiliza Mange kimambiKwamba Dkt. Gwajima D ameamua kusogea kwenye kalamu ya damu ya October 29.
Kwamba utu, haki, heshima na maadili havina maana yoyote mbele ya meza ya chakula kwake siyo?
Tumefikaje hapa kama binadamu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru Kenyatta alivyoshtakiwa alikuwa ni bodaboda?Rais hashitakiwi labda itokee iwekewe vikwazo ajiuzul
alikuwa mjinga kukubali wito , siku hizi unajitoa tu uanachamaUhuru Kenyatta alivyoshtakiwa alikuwa ni bodaboda?
Naunga mkono hoja zingine ni takataka!Hapo wa maana ni doroth gwajima tu
Tutaimba nyimbo zote hivi tulijua maana ya zile kinga za kutoshitakiwa kwa ile mihimili mi 3?Hadi mtoto wa Mwinyi ndani
Wazanzibar 4
Watanganyika 2
Yaani Zanzibar yenye Raia 1m inazidi uwakilishi Tanganyika yenye raia 67m
Ila mkiwa na njaa mnapeleka matako yenu kuomba misaada kwaoalikuwa mjinga kukubali wito , siku hizi unajitoa tu uanachama
Imagine, jambazi anateua🙄Mwizi wa kura anapofanya uteuzi.