The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zainabu mhidini michuzi- mji geitaMnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mqwendo wa kichama, makada?
Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Michuzi blog? Mke wa Muhidini michuzi yule blogger au?Zainabu mhidini michuzi- mji geita
Huyo huyo. kisa mmewe ni mpiga picha wa ikulu basi ndio kimekuwa kigezo cha yeye kuteuliwa.Shetani kaletwa Tang Jiji , Mungu wangu! Tumekwisha! Shetani Jike hilo laja wana Tanga Jiji
Michuzi blog? Mke wa Muhidini michuzi yule blogger au?
Nilijua Samia hawezi fanya lolote duniani. Tumepigwa...Huyo huyo. kisa mmewe ni mpiga picha wa ikulu basi ndio kimekuwa kigezo cha yeye kuteuliwa.
Wanapeana vyeo kwa kujuana
Hapo hakuna proffesionalism, wakishapewa hivyo vyeo lazima waitumikie CCM.Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mqwendo wa kichama, makada?
Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Hakuna chuo cha urais duniani; na ndio maana wakati uchaguzi mkuu wa Rais inahitajika elimu ya uraia ili wapiga kura wafahamu sifa za wagombea anayestahili kuwa Rais kati yao wagombea.Anaupiga mwingi sana
Shetani kaletwa Tanga, tunafanyaje sasa jamani! Wadigo, tunafanyaje? Mbumbumbu marafiki zangu.... hawajui hili wala lile...wazee wangu wa kidigo na ardhi yao...Wasaidizi wa CCM kwenye kufanikisha ushindi usio halali kwenye chaguzi za kisiasa.
Namuona Spora Liana wamempeleka Tanga akawanyooshe.