UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mqwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Hapa naona kuna dalili kuwa uchaguzi mkuu ujao umekwisha najisiwa! Kama si kwa malengo ya uchaguzi mkuu ujao, kwa nini kuteua upya? Performance au wengi wamestaafu?
 
Nimeitetea serikali yangu kwa muda mrefu, nimehangaikia chama, nimesemwa kwa sababu ya kuitetea serikali yangu, ni msomi mzuri, Ila sijabahatika teuzi Hadi leo, Ila nashangaa Kuna watu wawili wamechaguliwa halmashauri mbili tofauti. Dah, Angalia majina Dollar, na Lutengano. Naomba nafasi moja ikikupendeza mh. Rais uniteue nikaitumikie halmashauri
 
Jambo pekee analoweza ni kuzurula kama vasco dagama ndio maana ametuletea makato makubwa ili apate hela ya kula bata vizuri nchi za nje. Kwa hakika TUMEPIGWAAAA
Samia Suluhu Hassan...

Rais msikivu na mpole aliyesababisha Mdude Nyagali atoke rumande.....leo anakula maparachichi kwao huko.....

#KaziIendelee
 
Ndio maana waenye akili wanadai katiba mpya.
Wenye akili kwa kiwango gani?!!!

Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....

Ni wanasiasa wachache tu....

Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
 
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mqwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Uchama tupu
 
Back
Top Bottom