Hongera kwa wateule wote.
Teuzi ya mama imezingatia kujenga uzalendo wa taifa letu.
Taasisi zingine ni muhimu sana ziwe zinazigatia kujenga umoja na taswira ya nchi yetu, ni muhimu sana kila raia mwenye sifa akashiriki kulijenga Taifa lake, tuepuke kujaza aina mmoja ya watu.mfano aina moja ya dini au jinsia kama baadhi ya taasisi zingine zilivyo kuwa zinafanya, haikuwa sawa. nchi yetu ni lazima ijengwe na watanzania wote wenye sifa ili kujenga uzalendo na upendo kwa nchi.
safi sana Mhe. Rais.
sasa tuchape kazi kwa weledi na maarifa ili nchi yetu isonge mbele.