UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
huyu Dollar Rajab Kusenge amekula shavu × 2, ameteuliwa Kasulu mji na ameteuliwa tena Njombe mji...!! WTF
 
Shetani kaletwa Tanga, tunafanyaje sasa jamani! Wadigo, tunafanyaje? Mbumbumbu marafiki zangu.... hawajui hili wala lile...wazee wangu wa kidigo na ardhi yao...
Poleni aiseee
 
jiepushe na matusi, ungelinijibu tu kwa maneno mema tu. Mimi nimequote johnthebaptist baada ya kumuuliza, and I did not folow it any more. Sasa wewe unanitukana.
Aisee, hii imekuja accidentally brother, nilikuwa namjibu Johnthebaptist mtani wangu! Nisamehe sana bro kwa kweli nimesoma vibaya nikadhani kaandika Johnthebaptist!! Naifuta sasa hivi!!
 
Kila siku unawashangilia wenzio wewe hauna qualifications ?!. Mbona hawakuoni !!
🤣🤣
Kwa hiyo kila kada wa CCM anataka uteuzi?!!!

Notion hii ni mbaya kwa sisi vijana....

Mimi mtu wa ITIKADI za chama mkuu.....

Walinzi wa ITIKADI ya chama si lazima wateuliwe 🤣🤣

#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaCCM
#SiempreSSH
#SerikaliMbiliMilele
 
Back
Top Bottom