Hazuruli,anawatafutia mboga watoto.ila mboga zinatafutwa zilikokaukaHamna jipya anademka tu huyu mama yenu mpaka anatoka madarakani hakuna atakachokuwa amefanya. Kazi kuzurula tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazuruli,anawatafutia mboga watoto.ila mboga zinatafutwa zilikokaukaHamna jipya anademka tu huyu mama yenu mpaka anatoka madarakani hakuna atakachokuwa amefanya. Kazi kuzurula tu
Huo utafiti umefanya wapi?
Nao ni watumish wa serikali mkuu tena wako wengi sana nchi hii,,..Labda TISS
Wacha uzembe wewe! Mbona Waislam wamo wengi tu? Ulishaona Jina la Husna au Rehema Said kuwa ni Mkristo?Wakristo watupu! Hii nchi ina nini lakini.
Jana alikuwa Clouds tv anahojiwa.Naona Hudson Kamoga simuoni ktk list
Hahahaaaa..... Ilikuwa utani bwashee.Haina shida, nimekuelewa hivi ni kweli amepata au johnthebaptist nami alikuwa ananitania, maana tunataniana ingawa simjui
Ivi Performance yake ilikuwaje ? Naona mama kamsahau au ndio kusema lile jina lililojirudia la Dorice bac kulioaswa jina lake liwepoHongera Dr. Kamoga umeupiga mwingi. Mbulu tutakumiss
Hive kazi ya Rais ni kuteua viongozi kila siku? Hii imekuwa kama ndoto, uteuzi kila siku? What wrong with the previous vigogo. Is Tanzania not overgoverned, viongozi wangapi kweye hizo wilaya na mikoa, DC, DED, Mayor, MP etc wote hao wanzoa mishahara? Do we actually need them, no. They are all useless.Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184. View attachment 1877040View attachment 1877042View attachment 1877043View attachment 1877044View attachment 1877045View attachment 1877046
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ipo Dongobesh. Ni pazuri maana wamehamia majuzi hivyo deals za upigaji nje nje. Maana wanajenga jengo la Halmashauri na hospitali pengine na barabara ya lami itajengwa hivyo Ni rahisi mtu kushawishika kudokia Senti Kama si muadilifuIvi Performance yake ilikuwaje ? Naona mama kamsahau au ndio kusema lile jina lililojirudia la Dorice bac kulioaswa jina lake liwepo
Ni kweli alafu yule ni kama alijitabiria maana alitoa mfano mmoja wa Punda yule aliyembeba Yesu si alikanyaga kanga wakati wa kwenda so Hudson akasema anauhakika yule Punda wakati wa kurudi hakukanyaga tena kanga ...Jana alikuwa Clouds tv anahojiwa.
Labda atarudi Clouds 360 kuchukua mikoba ya Baby Kabae!
Kiboko ya Meya kaenda kwa Wadigo hukoNatafuta jina la MWAKIBIBI aliyekuwa Temeke kapangwa wapi
Na yule walipandishana na Meya wa Dar then next day wakawa wameshika maungo eti wamepeana samahani
Sure. Hata Mkoa wa Mtwara "Nanyamba" imejirudia Mara 2 nadhani walimaanisha Nanyumbu so yule DED wa Nanyumbu Hamisi Dambaya ndo imetoka hiyo...Mbona majina yamejirudia??
Mm nahisi jina lake limesaulika tu maana hata ktk serikali ya awamu ya 5hata Tamisemi hatukusikia wakiimulika iyo halmashauri so nafikir ali perform vizuriHalmashauri ya Wilaya ya Mbulu ipo Dongobesh. Ni pazuri maana wamehamia majuzi hivyo deals za upigaji nje nje. Maana wanajenga jengo la Halmashauri na hospitali pengine na barabara ya lami itajengwa hivyo Ni rahisi mru kushawishika kudokia Senti Kama si muadilifu
No wonder kila siku Mama mama, she is is so poweful my God, basically anateua kila kitu - wakuu wa shule za chekechea? 15 years of this crap, tuombe Mungu, if there is any!Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184. View attachment 1877040View attachment 1877042View attachment 1877043View attachment 1877044View attachment 1877045View attachment 1877046