UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?

Naona ukishakuwa mtoto wa mkubwa basi unakula tu teuzi, hakika ndio maana katiba mpya ni jambo la msingi sana.

Humo ndani wamechomeka hadi wake wa wapiga picha za ikulu kweli Tanzania tuna ssfari ndefu.
 
Uteuzi umezingatia kigezo cha KUJUANA

Nchi imerudi kwenye zama za mabwanyenye na unanijua mimi nani?
Tambua Mama hajaja na majina yake isipokuwa walewale wa awamu ya 5 wamepelekwa vituo tofauti na wengine ndio wametumbukizwa ..huyo Nnauye alikuwepo tangia enzi za Mzee mbaba
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?

Naona ukishakuwa mtoto wa mkubwa basi unakula tu teuzi, hakika ndio maana katiba mpya ni jambo la msingi sana.

Humo ndani wamechomeka hadi wake wa wapiga picha za ikulu kweli Tanzania tuna ssfari ndefu.
Ndugu yangu nchi imerudi kuhodhiwa na wachache. Zama za ubwanyenye zimerudi kwa kasi na MADED wote unaowaona hakuna mnyonge hata mmoja. Wote wametoka kwenye familia za wakubwa wenye anuani hapa mjini

Kijazi
Michuzi
Nnauye

Etc....
 
Wilaya ya Nanyumbu Mkoani Mtwara imesahaulika au imewekwa pembeni Kwanza kupisha Uchunguzi unaomkabili DED aliyekuwepo Hamis Dambaya ambaye anakabiliwa na Shutuma kutokana na Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mangaka?
Bila shaka ndio hiyo iloandikwa Wilaya ya Nanyamba, Sababu hakuna wilaya ya Nanyamba. Nahisi ni Typing Error. Wilaya ya Nanyumbu
 
Majina yamejirudiarudia huu mkeka hauleweki...hivi Hawa makatibu huwa hawafanyi uhakiki kabla ya kupost mkeka
 
Back
Top Bottom