UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mambo ya hovyo kabisa...
 
Hawa walitakuwa wateuliwe na Utumishi - Rais ana mamlaka yaliyopitiliza... na ndiyo maana tunataka kuipitisha katiba mpya ya Jaji Warioba.

Ukiangalia kwa makini wote hawa wana chembechembe za ukada wa Lumumba - na ndiyo wanakwenda kuwa wasimamizi wa chaguzi zote, hii pia ni changamoto nyingine na kubwa.
 
Kweli nimeamini Siku hizi hakuna Waganga wazuri wa Kienyeji ( katika Medani za Siasa na Uteuzi ) kwani kuna Mtu nimepishana nae mno katika 'Vilinge' vya Waganga nchini Mimi 'nikiirogea' Simba SC imfunge Yanga SC katika ASFC Final iliyomalizika ili ateuliwe kuwa DED lakini kakosa na aliniambia kuwa lazima tu 'Mama' atamteua.
nani huyo mkuu. njoo inbox
 
Siyo Mwakabibi atakuwa anamzungumzia Sipora aliyekuwa kinondoni amepelekwa tanga jiji
Anaitwa MWAKABIBI mkuu alipata kuwa boss wangu nikiwa Temeke kabla ya kuhamia Simiyu.
 
Ndugu yangu nchi imerudi kuhodhiwa na wachache. Zama za ubwanyenye zimerudi kwa kasi na MADED wote unaowaona hakuna mnyonge hata mmoja. Wote wametoka kwenye familia za wakubwa wenye anuani hapa mjini...
michuzi
 
Back
Top Bottom