Atakuwa nakashifa ya kuuza mabanzinetho ndilito alikuwa mufindi simuoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa nakashifa ya kuuza mabanzinetho ndilito alikuwa mufindi simuoni
Kwahiyo Hamis Dambaya katoswa rasmi?Bila shaka ndio hiyo iloandikwa Wilaya ya Nanyamba, Sababu hakuna wilaya ya Nanyamba. Nahisi ni Typing Error. Wilaya ya Nanyumbu
Aamuke mjamzito,tanga si ndio mmebobeaHivi hakuna watu wengine ? Sipora tu tangu huko jamani !
Kwani wewe hapa duniani umeishafanya nini la maana?Nilijua Samia hawezi fanya lolote duniani. Tumepigwa...
Shomary ebu tuambie katokea wapiAlieletwa nzega unamjua???
Kama huwezi kupandikiza mtu wako Serikalini hutapata hata uteuzi Bali utabaki kusfia watu tu mwanxo mwishoWenye akili kwa kiwango gani?!!!
Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....
Ni wanasiasa wachache tu....
Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Kweli kabisa ......netho ndilito alikuwa mufindi simuoni
Kwani ni umuite mwanadamu mwenzako shetani?Shetani kaletwa Tang Jiji , Mungu wangu! Tumekwisha! Shetani Jike hilo laja wana Tanga Jiji
Haya bwana,nimefanikiwa kung'amua huyo totoz mwenye mwanya,Uteuzi wake wa awali kuwa DED ulikuwa ni wa 'Kikuwadi' zaidi baada ya Kutumika 'Kumkuwadia' Mtu 'Totooz' moja yenye 'Mwanya' na 'Inye' alipokuwa CMG ( hasa katika Kipindi chao kile ) ila Naomba niishie hapa tafadhali na Rest In Peace sana Wewe Mtu.
Huyo ni mtoto wake , yaani huyo hajawahi kuajiriwa kokote kazi take ya kwanza ndio hiyo ya UDED.Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?
Naona ukishakuwa mtoto wa mkubwa basi unakula tu teuzi, hakika ndio maana katiba mpya ni jambo la msingi sana.
Humo ndani wamechomeka hadi wake wa wapiga picha za ikulu kweli Tanzania tuna ssfari ndefu.
Tanzania favoritism haitakaa iishe wallah,it doesn't matter what you know, but whom you knowHawa ni kama ninavyofikiria?
Nimeona Moses Nnauye nikamuona ndugu wa (sina hakika) Nape
Nimeona Muhidini Michuzi nikamuona mtoto wa (sina hakika) Michuzi, mmiliki wa blogu maarufu
View attachment 1877185View attachment 1877186
Mengi and you can not dispute this because you do not know me, but we all know SamiaKwani wewe hapa duniani umeishafanya nini la maana?
Uko Sahihi Mkuu.Moja wa mkurugenzi shupavu Tanzania ni huuo mama. Ila usimzingue
Elimu ya uraia ? Na wale wana kitengo wanafanya nini eti tuchague wabunge na Rais kulingana na tunavyotaka?!Reflection ya hayo angalia maendeleo ya taifa na teuzi hizi, bila katiba mpya na juhudi mahsusi tutalia machozi milele .Watawala hawafanyi utani kama sisi wao wanafanya kweli tuHakuna chuo cha urais duniani; na ndio maana wakati uchaguzi mkuu wa Rais inahitajika elimu ya uraia ili wapiga kura wafahamu sifa za wagombea anayestahili kuwa Rais kati yao wagombea.
huyo ndio yule wa ubungo?Wasaidizi wa CCM kwenye kufanikisha ushindi usio halali kwenye chaguzi za kisiasa.
Namuona Spora Liana wamempeleka Tanga akawanyooshe.