UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
Wenye akili kwa kiwango gani?!!!

Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....

Ni wanasiasa wachache tu....

Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Kama huwezi kupandikiza mtu wako Serikalini hutapata hata uteuzi Bali utabaki kusfia watu tu mwanxo mwisho
 
Halmashauri ya Mji wa Kahama inapatikana wapi?

Shinyanga Kuna Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
 
Hawa ni kama ninavyofikiria?

Nimeona Moses Nnauye nikamuona ndugu wa (sina hakika) Nape
Nimeona Muhidini Michuzi nikamuona mtoto wa (sina hakika) Michuzi, mmiliki wa blogu maarufu

Capture 11.jpg
Capture 22.jpg
 
Uteuzi wake wa awali kuwa DED ulikuwa ni wa 'Kikuwadi' zaidi baada ya Kutumika 'Kumkuwadia' Mtu 'Totooz' moja yenye 'Mwanya' na 'Inye' alipokuwa CMG ( hasa katika Kipindi chao kile ) ila Naomba niishie hapa tafadhali na Rest In Peace sana Wewe Mtu.
Haya bwana,nimefanikiwa kung'amua huyo totoz mwenye mwanya,
 
Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?

Naona ukishakuwa mtoto wa mkubwa basi unakula tu teuzi, hakika ndio maana katiba mpya ni jambo la msingi sana.

Humo ndani wamechomeka hadi wake wa wapiga picha za ikulu kweli Tanzania tuna ssfari ndefu.
Huyo ni mtoto wake , yaani huyo hajawahi kuajiriwa kokote kazi take ya kwanza ndio hiyo ya UDED.
Dah hii nchi sijui inaelekea wapi
 
Nashukuru Halmashauri yetu tumeachiwa bwana Mbenje ni Mkurugenzi anaetumia utashi wake kuiinua Wilaya yetu.
 
Moja wa mkurugenzi shupavu Tanzania ni huuo mama. Ila usimzingue
Uko Sahihi Mkuu.

Sijajua Kwanini wananzengo wanamkataa maana ukifuatilia tangu alipokuwa jiji Arusha,Jiji Dar Hana kashfa yoyote ya kuiba ila ni mtu mtata anasimamia sheria hata iwe Kwa wana CCM au viongozi wengine.

Ni mtu asiyeyumbushwa kabisa
 
Hakuna chuo cha urais duniani; na ndio maana wakati uchaguzi mkuu wa Rais inahitajika elimu ya uraia ili wapiga kura wafahamu sifa za wagombea anayestahili kuwa Rais kati yao wagombea.
Elimu ya uraia ? Na wale wana kitengo wanafanya nini eti tuchague wabunge na Rais kulingana na tunavyotaka?!Reflection ya hayo angalia maendeleo ya taifa na teuzi hizi, bila katiba mpya na juhudi mahsusi tutalia machozi milele .Watawala hawafanyi utani kama sisi wao wanafanya kweli tu
 
Back
Top Bottom