UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
Kuna watu wana bahati kama namba 21 na 108 pamoja na namba 46 na 115 aseeeee unateuliwa hadi halimashauri mbili
 
Dollar Kusenge kateuliwa kuwa mkurugenzi wa Kasulu na Njombe mwingine kapewa Bukombe na Misungwi sasa hawa sijui watajigawaje afadhali huyo wa bukombe na misungwi siyo mbali ila huyu wa Kasulu na Njombe kazi anayo
 
Pamoja na kasoro zilizopo, busara zimetumika. Hongera Chiza Marando, unastahili.
Ni vema, hakika kwa kupitia hapa lazima ataanza kuji-tune ili asiwaangushe wale waliopamoja nae, na awa-prove wrong wengineo!!Nawaza kwa sauti tu.
 
Wenye akili kwa kiwango gani?!!!

Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....

Ni wanasiasa wachache tu....

Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Kwani Tanzania ina watu wengi wenye akili? Nusu ya viongozi wa nchi hii hawana akili timamu, sio kwamba hawana akili kabisa ila hawana timamu ambayo ndio tunaihitaji.
 
Hii Ya Wakili Mwenzangu Msomi Kibamba Ni Kama Demotion, Unatoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji Kama Mwanza Unapelekewa Kuwa DED Nzega, Huwezi Kumlinganisha Mkurugenzi Wa Jiji La Mwanza Akawa Sawa Na Mkurugenzi Wa wilaya Ya Nzega, Hii Ya Kilomoni Kwenye Sheria Tunaita Silent Demotion [emoji91]
 
Ni vema, hakika kwa kupitia hapa lazima ataanza kuji-tune ili asiwaangushe wale waliopamoja nae, na awa-prove wrong wengineo!!Nawaza kwa sauti tu.
Ni kweri, watashangazwa wengii.
Hakupata mda wa kutosha kujiridhisha na teuzi za wakuu wa mikoa, wilaya na mawaziri.
Ikimpendeza afanye scanning kuondoa virusi.
 
Nimepitia mkeka wenye majina 184 sijaliona jina la aliyekuwa DED wilaya ya chato,Mkoa wa Geita. Mwenye kuliona hilo jina tafadhali.
Nimeuza tu
 
kuna maDED wamepangiwa mara mbili mbili wakirekebisha utamuona
 
sasa huyu wa mafia kabaki kufanya nini mafia maana amekuwa mzabuni
 
Vizuri mtu akaweka list ya waliotemwa
Hapa tusiulizane
 
Back
Top Bottom