UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184
Jambo pekee analoweza ni kuzurula kama vasco dagama ndio maana ametuletea makato makubwa ili apate hela ya kula bata vizuri nchi za nje. Kwa hakika TUMEPIGWAAAA
Chini ya utawala wake MDUDE NYAGALI yuko huru pale stationery kwake....awamu iliyopita ilimng'ang'ania ndani.....

Chini ya utawala wake ,masheikh wa Uamsho wako huru baada ya kukaa ndani miaka 8....tawala mbili zilipita bila ya kupata Uhuru wao.....

Zile milioni 300 zilirudishwa kwa mh.Mbowe......

Rais kusimamia diplomasia kwa kusafiri ndani na nje ni kitu cha kawaida mno....

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SiempreSSH
 
tumeumia , huyu mama si amfuate Mwendazake?
Acha umumiani wewe mdigo wa Kwanjeka 🤣

Mama yupo....
Mama tunaye....
Mama anaupiga mwingi....

Mwenyezi Mungu amuweke hai Aaamin Aaamin🙏

#SiempreJMT
#SerikaliMbiliMilele
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
 
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mqwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
Naona professionalism imezingatiwa sana.
 
Acha umumiani wewe mdigo wa Kwanjeka 🤣

Mama yupo....
Mama tunaye....
Mama anaupiga mwingi....

Mwenyezi Mungu amuweke hai Aaamin Aaamin🙏

#SiempreJMT
#SerikaliMbiliMilele
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
kufa wewe basi mfuate Jiwe badala yake
 
Hiki ndio kitu kinachotakiwa kufanyiwa amendment kwenye katiba (sio kwamba tunahitaji katiba mpya) hakuna serikali inaendeshwa hivi duniani.

Uwezi kuwa na consistency kama kila mara unabadili makatibu wakuu wa wizara na wakurugenzi those posts require experience and succession planning.

Dah unaweza kuona kwanini hii nchi aipigi hatua. Katiba yetu ilitengenezwa zama hizo kuna vipengele ata kama vinampa kiongozi mamlaka kwa uelewa wa maswala ya sayansi ya management leo anatakiwa avichunie for efficient purposes.

Sio kila kitu raisi anaeingia lazima abadili as a rubber stamp to his/her authority that there is a new sheriff in town.

Wajameni hii nchi inamuhitaji January Makamba sio kwamba yeye ndio ana akili sana huko CCM walau ni kilaza ambae ukimkosoa anaangalia msingi wa hoja na kama ina merit ataifanyia kazi sio hawa watu wanaolewa madaraka wanayopewa na katiba na hawataki ushauri.

Mtu yeyote ambae yupo over 50 come 2025 hatufai hawa watu wanatuchelewesha personal I am sick and tired na siasa za kizazi cha TANU. Wanafikra za kudhani wana hati miliki ya hii nchi.
 
Back
Top Bottom