Nini maoni yako baada ya kupitia Orodha ya majina ya wakurugenzi hii hapa kama mwananchi kwa mteuzi na wateuliwa ?
Ukifatilia kwa makini utaona kuna majina yamejirudia kutajwa zaidi ya kituo kimoja cha kazi. kwa mfano angalia Dollar Rajabu Kusenge na Lutengano George Mwalibu !

 
Mnaowafahamu hawa wateule, je Ukada wa CCM kma alivyokuwa Magufuli umeendelezwa na Samia? Professionalism imezingatiwa? Au ni mwendo wa kichama, makada?

Lakini kwa Samia nowadays ataweka rekodi ya uchama ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…