Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
وَمَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ ۖ إِن يَتَّبِعُونَ إِلَّا الظَّنَّ ۖ وَإِنَّ الظَّنَّ لَا يُغْنِي مِنَ الْحَقِّ شَيْئًا.Sio kila kitu udini.
Ficha ujinga wako.
Unajitia dhambi bure kwa kuweka dhana ya kuleta udini kwangu ikiwa mimi ni wa dini hiyo hiyo. Dhana ni dhambi kubwa mno.
Kuuliza kama kamaliza Umrah ni udini?
Usitafute ligi pasipokuwa na ligi ndugu. Kama dhamira yako ilikuwa majibizano, leo sitokupa hiyo faraja.
Uwe na siku njema iliyojaa nuru ya nafsi. Allah akuhidi moyo wako kiasi cha kutojiona wewe mbora kuliko wengine mpaka kuita wenzio wajinga.