Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Una connection mzee ? We kaa nyuma ya keyboard tu hapo uandike humu Jamiiforumshuyu jiwe alimtumbua kuwa hafai pamoja na kina makamba leo ni mzuri ? au ndo kujuana na umimi.
Aisee hii kitu...nadhani kuna mkakati umeandaliwa..si unajua NHC iko chini ya Wizara ya Ardhi? Na pale si ndio Riz1 ni Namba 2 katika ile Wizara?? Ngoja tuone kitakachotokea.....Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Hili ni kosa dogo mzee ? Kama mwizi wa kuku anapigwa mawe mtaani je wa mabilioni aachwe tu ?Haswa ubadhirifu wa fedha za shirika, ufujaji na upendeleo.
watanzania hawapendi kusikia vitu hivi hata kidogo.
Hongera kwake na pole.
We acha tu manzee. . . . . . kama haupo kwenye wish list umekwishaNaona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Mkuu Ubadhirifu ni tabia...huwa haubadiliki...sanasana mbinu ndio zitabadilika.....zitatumika za hali ya juu zaidi ili ubadhirifu usigundulike...Nehemia Mchechu alifanya kazi yake vizuri sana alipo kuwa kwenye nafasi yake hii hapo awali lkn inaonekana kuna mahali alikosea hivyo anapaswa awe makini sana kuepuka makosa aliyo yafanya na kupelekea kutoaminika na kuondolewa.
Haswa ubadhirifu wa fedha za shirika, ufujaji na upendeleo.
watanzania hawapendi kusikia vitu hivi hata kidogo.
Hongera kwake na pole.
mtanganyika katolewa, zanzibar wamejazia mbungeNaona Mchechu karudishwa kwenye kiti chake, Polepole naona kapigwa spidi gavana 🐒
TIB naweza kukubali japo kwa mbaaali lakini BOT hapana kabisaBado Lawrence Mafuru Genious wa Wakati woote apewe shavu pale BOT au PSSSF au TIB akimbize maisha na ufanisi wa kazi.
Heheheeeeee . . . . . . . napita kwanza nitarudi baadayemtanganyika katolewa, zanzibar wamejazia mbunge
Tukiwa kama raia wema kazi yetu ni kufuatilia na kutoa taarifa kwenye Mamlaka za uteuzi kama kuna harufu ya Ubadhirifu wa fedha za umma.Mkuu Ubadhirifu ni tabia...huwa haubadiliki...sanasana mbinu ndio zitabadilika.....zitatumika za hali ya juu zaidi ili ubadhirifu usigundulike...
Nakubaliana na wewe....That is the only thing we can do... Na kama hizo Mamlaka zitasikia na kufanyia kazi huo ubadhirifu...Maana kuripoti ni kitu kimoja, na kufanyiwa kazi ni kitu kingine...Tukiwa kama raia wema kazi yetu ni kufuatilia na kutoa taarifa kwenye Mamlaka za uteuzi kama kuna harufu ya Ubadhirifu wa fedha za umma.
Mku inawezekana kwani ni muda mrefu sana.Usilete sifa za uongo . Huyo Herry Bomani si alifukuzwa Kenya Commercial Bank? Unazijua sababu zilifanya akafukuzwa? Mtendaji mzuri hafukuzwi kazi.
Mku hilo shirika unalijua kwani hayo Mambo hajaanza kwa Chande pale penye utendaji apewa Credit zakeMaharage Chande ? Huyu wa TANESCO ya kukatika umeme ?
kafanya nini cha maana mpaka sasa ?Mku hilo shirika unalijua kwani hayo Mambo hajaanza kwa Chande pale penye utendaji apewa Credit zake
Kwa maoni yangu NHC hawahitaji menejimenti ya aina hiyo tatizo huko ilikuwa kubanwa na sheria za nchi wala sijyo menejimenti. Pili serikali isijisahulishe kwa nini menejimenti ya huyu bwana ilifutwa! Sasa amerudishwa kuna speed governor wamemwekea? NHC ni taasisi ya umma siyo ya mtu binafsi kama inavyo chezewa sasa! Pili serikali iwekeze ktk mambo ya msingi ktk taasisi hizi kubwa badala ya urafiki na kufahamiana!Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.
Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.
Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.
Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.