Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Aisee hii kitu...nadhani kuna mkakati umeandaliwa..si unajua NHC iko chini ya Wizara ya Ardhi? Na pale si ndio Riz1 ni Namba 2 katika ile Wizara?? Ngoja tuone kitakachotokea.....
 
Haswa ubadhirifu wa fedha za shirika, ufujaji na upendeleo.
watanzania hawapendi kusikia vitu hivi hata kidogo.
Hongera kwake na pole.
Hili ni kosa dogo mzee ? Kama mwizi wa kuku anapigwa mawe mtaani je wa mabilioni aachwe tu ?
 
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
We acha tu manzee. . . . . . kama haupo kwenye wish list umekwisha
 
Nehemia Mchechu alifanya kazi yake vizuri sana alipo kuwa kwenye nafasi yake hii hapo awali lkn inaonekana kuna mahali alikosea hivyo anapaswa awe makini sana kuepuka makosa aliyo yafanya na kupelekea kutoaminika na kuondolewa.

Haswa ubadhirifu wa fedha za shirika, ufujaji na upendeleo.
watanzania hawapendi kusikia vitu hivi hata kidogo.
Hongera kwake na pole.
Mkuu Ubadhirifu ni tabia...huwa haubadiliki...sanasana mbinu ndio zitabadilika.....zitatumika za hali ya juu zaidi ili ubadhirifu usigundulike...
 
Tukiwa kama raia wema kazi yetu ni kufuatilia na kutoa taarifa kwenye Mamlaka za uteuzi kama kuna harufu ya Ubadhirifu wa fedha za umma.
 
Nakubaliana na wewe....That is the only thing we can do... Na kama hizo Mamlaka zitasikia na kufanyia kazi huo ubadhirifu...Maana kuripoti ni kitu kimoja, na kufanyiwa kazi ni kitu kingine...
 
Usilete sifa za uongo . Huyo Herry Bomani si alifukuzwa Kenya Commercial Bank? Unazijua sababu zilifanya akafukuzwa? Mtendaji mzuri hafukuzwi kazi.
Mku inawezekana kwani ni muda mrefu sana.
Lakini hawa wengine wako smart sana utakuwa unawajua
 
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Kwa maoni yangu NHC hawahitaji menejimenti ya aina hiyo tatizo huko ilikuwa kubanwa na sheria za nchi wala sijyo menejimenti. Pili serikali isijisahulishe kwa nini menejimenti ya huyu bwana ilifutwa! Sasa amerudishwa kuna speed governor wamemwekea? NHC ni taasisi ya umma siyo ya mtu binafsi kama inavyo chezewa sasa! Pili serikali iwekeze ktk mambo ya msingi ktk taasisi hizi kubwa badala ya urafiki na kufahamiana!
 
Back
Top Bottom