UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

Kila msukuma anajivunia mkoa anaoishi akijiona yeye ni bora kuliko Mwingine wa Geita atajiona Bora kuliko wa Bariadi ,wa Bariadi atajiona Bora kuliko wa shinyanga ,wa Mwanza wanajiona wao ndio halisi wasumbwa ndio wako wengi Mwanza.
Ok. Ahsante kwa elimu murua. Msukuma halisi ni yupi sasa?! Kuna mtu aliniambia wasukuma halisi ni wasumbwa. Ni kweli?
 
Walimsingizia tuu, vile vijisenti ni vijisenti vyake halali vya legal consultancy ni lawyer wa Harvard, ambayo ndio the 2nd best law school duniani, after Yale. Mtu aki graduate Harvard, kazi zinamtafuta, tena tumshukuru sana Mwalimu Nyerere, ukienda kusoma nje lazima urudi home, vinginevyo huwa hawarudi, mtu huwezi kuacha greener pasture abroad ukaja bongo kupokea peanut!

P
 
Sita sahau siku amenitoa Mbezi beach mpaka stanbic hq kwenda mfanyia attestation kumaliza akanitoa na buku 5 ambayo niliamua kuigawa kwa ombaomba
 
Sita sahau siku amenitoa Mbezi beach mpaka stanbic hq kwenda mfanyia attestation kumaliza akanitoa na buku 5 ambayo niliamua kuigawa kwa ombaomba
Kwanini uligawa kwa ombaomba?
 
Professional service analipa buku 5 kweli na ninechoma mafuta na nimepoteza muda mwingi kwenye foleni
Ungemrudishia mwenyewe hiyo buk5. Kwa kitendo cha kuipokea bado hujadikisha ujumbe wako sawasawa. Anajuwa uliridhika
 
Kwahiyo huyu Furaha Dominic anamiliki mafile fiche ya watu wazito nchini. Huyu Mihayo atakuwa kaambiwa atoe hela amegoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…